Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?
CCM wote ni mafisi/mafisadi.
Sehemu sahihi impasayo muhalifu kuishi ni gerezani/jela/lupango.
Huku kulindana hakutaweza kuipigisha hatua ya kimaendeleo hii nchi.
 
Samia alisharuhusu. kama kuna mtu ameumia naye atafute eneo lake,wasiingiliane
IMG_20220119_153335.jpg
 
Nchi ya hovyo sana hii...

Mama alisema wale kwa urefu wa kamba,,, sasa Hapi mbona anawaingilia... Naye si akale kwake...

Hangaya vituko sana sometimes,,,, ila ndio hvo mwenye mamlaka hakosei... Na sheria inasema asishitakiwe...
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Watakuwa wamejiongezea urefu wa kamba hao
 
Back
Top Bottom