Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

Wanawaonea tu,huo msingi una thamani ya bil 2 kasoro.Wapewe sifa hao jamaa wa halmashauri,Ni wazalendo sana hao.

2E35C0DD-72E5-46F1-8618-A98A05B283F6.jpeg
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Tunakula kwa urefu wa kamba..
 
Bill of quantities ipo inaweza leta ulinganisho na hali halisi ya site ilivyo.

Nacho shukuru kwa sasa taarifa zinatoka tofauti na enzi za Giza.Ujue kuna watu wanaamini eti awamu ya 5 watu walikuwa hawajipimii 🤣🤣.

Huwa Nawapa jibu rahisi tuu,wafuatilie taarifa yeyote ya CAG watapatamajibu.
Kila kukicha awamu ya tano walikuoa au!?
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Ukoo wa panya. Ccm hiyo. Naona Nasari amefika kwenye familia yake.
 
Back
Top Bottom