Nachinja maccm woteKwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
Namchapa vibokoKwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
Hao wanafanya hivyo sio kwa kupenda ila sababu ya njaa hata wale watoto wanaovalishwa km wanasesele kwenye kampeni kupiga makelele sio kwamba wanapenda ila njaa imewakaba sana, huwezi kukuta mtoto wa tajiri fulani kajimanua hapo chini hao sababu ni umasikiniUnamkataa ama!? 😃 😀 😄
Hela haishindwi kitu, watu wanakodishwa kulia misibani ije hiiNdio mpaka awe kichaa hivi?
Huwa wanazingua sana,Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
🤣🤣🤣Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi