Wewe ndio nimekuelewa, hapa duniani kila mmoja ana mitikasi yake, tusifatilie sana maisha ya watu..hahaha japo utaumia kidgHuwa wanazingua sana,
Ila unamwacha tu aendelee na mambo yake
😂😂😂😂Alfu 20 😃 😀 😄
Kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi