Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,251
- 40,817
Utashangaa nini sasa ukimuona? Hapo itabidi uongeze jitihada kufanya kazi ili umkomboe maza,maana kufanya ujinga kama huo ni indicator of poverty........
Kwa maneno haya ni kama uneshamtandika tayari l, unaowaona hapo kuna wakubwa kuzidi umri wa mama yako. Kiasili uneshafanya kosa kubwa la kumtandika mama yako. Pole sana. Nenda kamuombe msamaha yaisheMama yangu hawezi kufanya huo upumbavu.
Lakini ndio mfano imetokea basi siku hiyo atanipa laana, nitamtandika, chalaza sana mikwaju, akili imkae sawa.😄🤣
Huna kitu utaweza fanya kwasababu nilazima utakuwa ni sehemu ya wanufaika wa hicho anachokifanya .Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu? 😃 comment ziwe fupi fupi
Ni kweli ila roho lazma iumeHuna kitu utaweza fanya kwasababu nilazima utakuwa ni sehemu ya wanufaika wa hicho anachokifanya .
Unakuta umesomeshwa kupitia huko kujimania manua kwake hicho kiburi chakumuongelesha utakitoa wapi?
Wacha ma Bimkubwa wajimanue manue hapo ili madogo wakale (sad indeed)
mkuu huwezi kuumia roho kama umekulia kwenye huo mfumo na zaidi ndiyo utakomaa kumuombea ili aonekane ,pengine anaweza kuja kuupata hata wa viti maalumu 🤣🤣Ni kweli ila roho lazma iume
Si ndio!Kwamba kama Noma na iwe Noma
Daah!! Noma sana aseh..Kwenye pita pita zako mtandaoni unakutana na hii picha, unapo-zoom na kutazama vizuri unamuona bi mkubwa naye yupo hapo chini.
View attachment 3484101
Utafanya nini mkuu?