Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Hii trip inaweza ikawalipa sana tena sana ikiwa watazingatia mambo.matatu!

1. Wawe na ndege 2-3 atleast ziwe zinapishana just in case one goes technical.

2. ATCL waruhusu abiria kununua KG wakati wa booking au wakati wa ku check in

3. TRA watoleshe ushuru wa kibandari na sio ki-airport kwa abiria watakaotumia hizi ndege kwenda India, China na Dubai. Utaona ndege zitakavojaza abiria na mizigo.
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Mkuu vipi kwani ulikata tiketi ya tarehe ngapi!
 
Moja la tatizo kubwa serikarini ni kukosekana kwa business strategists.

Ndege zimenunuliwa ata kama aikuwa good investment fine zimeshafika uwezi kurudisha kuwaambia jamaa the business dint work can you take your planes back unipe hela yangu hilo halipo.

Kwa watanzania busara ni kuona walau shirika lina fair chance ya kuwa na sustainable business ata isiyo na faida so long as wana break even.

Kwa kutazama tu nje unaona hawa watu wana business model mbovu given there potential customers income na mambo mengine yaliyojitokeza kutokana na malalamiko ya wateja yenye kuashiria management ya juu uelewa wao biashara unatia shaka.

Sasa wao walivyo huwa awakubali mpaka athari ziwe obvious kabisa ndio uamka. That’s Tanzania for you.

Hivi hivi ilikuwa kwa Nehemia the guy was a disaster at NHC by the time wanastuka nyumba za NHC kibao zipo empty leo wacha alizojenga tu na zile alizozikuta zina full occupancy; leo ukienda NHC nyumba za kumwaga wale waliokuwa wana mchochea aongeze rent sijui ziendane na area going rate awapo.

Na madeni aliyokopa sasa yanalipwa na hela za asset alizozikuta kama cash cows badala ya zile investment alizofanya zijilipe zenyewe. Kinachofanya hawa watu wasione tatizo na hasara ipo wapi ni kuto kuelewa hizo hela zinazolipa madeni zilitakiwa kuwa mfukoni mwao.

Same na ATCL kwa sababu zimenunuliwa cash serikari awawezi kuona maumivu ya hasara ya hilo shirika jinsi linavyoendeshwa ovyo; na uhalisia ni kwamba management iliyopo hapo ina under perform sana tu ata kwa jicho la nje.
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Ndege inaendelea na safari kama kawaida; angalia vizuri booking system unayotumia.
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Hivi ni Basi gani zuri kabisa jipya la kunitoa Kahama kwenda Dar?????
 
ATCL ipo kufanya siasa na sio kufanya biashara. Sasa siasa za kuwagawa watanzania, kuwachukia wageni na matajiri zimeanza kuzaa matunda, maana kuna wasafiri wa ndege wanazikwepa hizo ndege kwa makusudi kabisa. Wanaona ni bora wakapanda Ethiopian Airline, Rwanda Airways.

Kwa sasa kuna hadi makada wa kijani (wale waliokatwa mikia) nao hawazipendi hizo ndege.
 
Mungu huonyesha njia pasipo njia.
Mi nasema na ife kabisa, hakukuwa na concent ya watanzania ktk kununua ndege wakati dengue imeua watu kibao.
Mimi naomba shirika life na lipotee kabisa ikiwezekana lituachie hasara kubwa ili tuweze kujifunza,shirika walikaa watu wawili tu (kimungu cha Dsm na Baba yake) then wakaanzisha shirika la ndege!
 
Back
Top Bottom