Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Routine maintenance mkuu! Subiri inakuja nyingine mwezi Sept ziwe zinabadirishana mkuu. Mwanzo ni mugumu lazima twende polepole!
 
Naamini hiyo pesa wangeiwekeza kwenye elimu au hata kwenye kilimo ningewaona wa maana.
Ushamba, sifa, kibuli na unafiki unalitafuna Taifa.
Huu ndo ukweli
tapatalk_1564410982305.jpeg
 
Mimi naomba shirika life na lipotee kabisa ikiwezekana lituachie hasara kubwa ili tuweze kujifunza,shirika walikaa watu wawili tu (kimungu cha Dsm na Baba yake) then wakaanzisha shirika la ndege!

Lijifiage be!!
 
Eti kuna kikundi cha watanzania wachache wao hufurahia mambo muhimu ya kitaifa yakifeli halafu wakati huohuo wanaitaika ikulu.

Kuna kikundi cha kabila fulani chenyewe kinaamua kwa ajili ya watanzania wote, nani alishirikushwa matumizi ya kodi zetu zinunulie ndege.
Subirini ndo mtajua TZ ni yetu sote ukoo ule utakaposokomezwa rumande
 
Inawezekana inatumika kumpeleka kiongozi wa juu likizo nyumbani kwake!!!
 
Ama kweli haya ni maajabu ya serikali ya awamu ya tano Heko magu Heko ccm hoyeee
 
Moja la tatizo kubwa serikarini ni kukosekana kwa business strategists.

Ndege zimenunuliwa ata kama aikuwa good investment fine zimeshafika uwezi kurudisha kuwaambia jamaa the business dint work can you take your planes back unipe hela yangu hilo halipo.

Kwa watanzania busara ni kuona walau shirika lina fair chance ya kuwa na sustainable business ata isiyo na faida so long as wana break even.

Kwa kutazama tu nje unaona hawa watu wana business model mbovu given there potential customers income na mambo mengine yaliyojitokeza kutokana na malalamiko ya wateja yenye kuashiria management ya juu uelewa wao biashara unatia shaka.

Sasa wao walivyo huwa awakubali mpaka athari ziwe obvious kabisa ndio uamka. That’s Tanzania for you.

Hivi hivi ilikuwa kwa Nehemia the guy was a disaster at NHC by the time wanastuka nyumba za NHC kibao zipo empty leo wacha alizojenga tu na zile alizozikuta zina full occupancy; leo ukienda NHC nyumba za kumwaga wale waliokuwa wana mchochea aongeze rent sijui ziendane na area going rate awapo.

Na madeni aliyokopa sasa yanalipwa na hela za asset alizozikuta kama cash cows badala ya zile investment alizofanya zijilipe zenyewe. Kinachofanya hawa watu wasione tatizo na hasara ipo wapi ni kuto kuelewa hizo hela zinazolipa madeni zilitakiwa kuwa mfukoni mwao.

Same na ATCL kwa sababu zimenunuliwa cash serikari awawezi kuona maumivu ya hasara ya hilo shirika jinsi linavyoendeshwa ovyo; na uhalisia ni kwamba management iliyopo hapo ina under perform sana tu ata kwa jicho la nje.
Philip Kotler na Kevin Lane Keller kwenye kitabu chao cha Marketing Management wanaongelea 'marketing concept' iliyoemerge mid-1950s "as a customer- centered, sense-and-respond philosophy.
The job is to find not the right customers for your products, but the right products for your customers.

Rais Magufuli aliingia kwenye 'love affair' na hizi ndege, aliziona nzuri na akaamini watu watazipenda. Hii Kotler anasema ni "better- mousetrap" fallacy, believing a better product will by itself lead people to beat a path to your door.

Sasa kwa hapa tulipo makosa hayawezi kukwepeka na loss lazima zitokee!
Biashara yoyote inataka alignment of ideas kama tu ujenzi wa nyumba kuanzia msingi!
Sio kila fancy idea kwenye kichwa chako inaweza kuturn into a working business!
 
Acha utani bhana tatizo ni Jiwe katika hili wengine wote wanatakiwa kumfurahisha yeye tu.
Moja la tatizo kubwa serikarini ni kukosekana kwa business strategists.

Ndege zimenunuliwa ata kama aikuwa good investment fine zimeshafika uwezi kurudisha kuwaambia jamaa the business dint work can you take your planes back unipe hela yangu hilo halipo.

Kwa watanzania busara ni kuona walau shirika lina fair chance ya kuwa na sustainable business ata isiyo na faida so long as wana break even.

Kwa kutazama tu nje unaona hawa watu wana business model mbovu given there potential customers income na mambo mengine yaliyojitokeza kutokana na malalamiko ya wateja yenye kuashiria management ya juu uelewa wao biashara unatia shaka.

Sasa wao walivyo huwa awakubali mpaka athari ziwe obvious kabisa ndio uamka. That’s Tanzania for you.

Hivi hivi ilikuwa kwa Nehemia the guy was a disaster at NHC by the time wanastuka nyumba za NHC kibao zipo empty leo wacha alizojenga tu na zile alizozikuta zina full occupancy; leo ukienda NHC nyumba za kumwaga wale waliokuwa wana mchochea aongeze rent sijui ziendane na area going rate awapo.

Na madeni aliyokopa sasa yanalipwa na hela za asset alizozikuta kama cash cows badala ya zile investment alizofanya zijilipe zenyewe. Kinachofanya hawa watu wasione tatizo na hasara ipo wapi ni kuto kuelewa hizo hela zinazolipa madeni zilitakiwa kuwa mfukoni mwao.

Same na ATCL kwa sababu zimenunuliwa cash serikari awawezi kuona maumivu ya hasara ya hilo shirika jinsi linavyoendeshwa ovyo; na uhalisia ni kwamba management iliyopo hapo ina under perform sana tu ata kwa jicho la nje.
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Why? is it sick?
 
Tunafanya service tukimaliza tutampeleka job appolo na dege letu

Back
Top Bottom