Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Moja la tatizo kubwa serikarini ni kukosekana kwa business strategists.

Ndege zimenunuliwa ata kama aikuwa good investment fine zimeshafika uwezi kurudisha kuwaambia jamaa the business dint work can you take your planes back unipe hela yangu hilo halipo.

Kwa watanzania busara ni kuona walau shirika lina fair chance ya kuwa na sustainable business ata isiyo na faida so long as wana break even.

Kwa kutazama tu nje unaona hawa watu wana business model mbovu given there potential customers income na mambo mengine yaliyojitokeza kutokana na malalamiko ya wateja yenye kuashiria management ya juu uelewa wao biashara unatia shaka.

Sasa wao walivyo huwa awakubali mpaka athari ziwe obvious kabisa ndio uamka. That’s Tanzania for you.

Hivi hivi ilikuwa kwa Nehemia the guy was a disaster at NHC by the time wanastuka nyumba za NHC kibao zipo empty leo wacha alizojenga tu na zile alizozikuta zina full occupancy; leo ukienda NHC nyumba za kumwaga wale waliokuwa wana mchochea aongeze rent sijui ziendane na area going rate awapo.

Na madeni aliyokopa sasa yanalipwa na hela za asset alizozikuta kama cash cows badala ya zile investment alizofanya zijilipe zenyewe. Kinachofanya hawa watu wasione tatizo na hasara ipo wapi ni kuto kuelewa hizo hela zinazolipa madeni zilitakiwa kuwa mfukoni mwao.

Same na ATCL kwa sababu zimenunuliwa cash serikari awawezi kuona maumivu ya hasara ya hilo shirika jinsi linavyoendeshwa ovyo; na uhalisia ni kwamba management iliyopo hapo ina under perform sana tu ata kwa jicho la nje.
Nimekuelewa sana hapo kwenye pricing policy.

Unatoza bei kubwa unapata wateja wachache, unashindwa kurudisha hata gharama ya uwekezaji(uendeshaji).
 
Philip Kotler na Kevin Lane Keller kwenye kitabu chao cha Marketing Management wanaongelea 'marketing concept' iliyoemerge mid-1950s "as a customer- centered, sense-and-respond philosophy.
The job is to find not the right customers for your products, but the right products for your customers.

Rais Magufuli aliingia kwenye 'love affair' na hizi ndege, aliziona nzuri na akaamini watu watazipenda. Hii Kotler anasema ni "better- mousetrap" fallacy, believing a better product will by itself lead people to beat a path to your door.

Sasa kwa hapa tulipo makosa hayawezi kukwepeka na loss lazima zitokee!
Biashara yoyote inataka alignment of ideas kama tu ujenzi wa nyumba kuanzia msingi!
Sio kila fancy idea kwenye kichwa chako inaweza kuturn into a working business!

Brilliantly put...!
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Sasa ukisikia ATCL wamepata kibali cha kuanza safari hadi UK (Heathrow) si ndio utajinyonga kabisa?
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Wenda Itakua occupied
 
Usikute web iko hacked jmn trip mumbai trip garage au imepita china ila walisema kwa week mara tatu au wamebadili kwa week mara 1 au wanasubiri wagonjwa warudi nao dah ebu fungua tena tuone sio kwel bana
Aliewaita malofa hakukosea
Kuna mtu aliwahi kupiga picha ndege inasukumwa akasema mbovu tanapa wakaunga tela,hawajui kama ndege sio gari unaweza kuwasha na kuisogeza
Kwa hiyo nyie jitibuni maradhi yenu ya akili kwa kutumia ndege mtapona haraka
MNA wasiwasi gani? Inasubiri wagonjwa wapone irudi nao!
 
Safari zake ni kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi, lkn imepaki airport.
Mbona ni route za ajabu, yaani ndege ikalale huko badala iondoke jumatano na irudi siku hiyo hiyo Kama ndege za mashirika mengine, yaani si gharama kubwa kupark ndege uwanja wa kigeni?
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
Lakini jumatano ipo na inageuza mda huo huo. Jumatano jioni na inafika alhamis asubuhi na kugeuza siku hiyo hiyo
 
Aliewaita malofa hakukosea
Kuna mtu aliwahi kupiga picha ndege inasukumwa akasema mbovu tanapa wakaunga tela,hawajui kama ndege sio gari unaweza kuwasha na kuisogeza
Kwa hiyo nyie jitibuni maradhi yenu ya akili kwa kutumia ndege mtapona haraka

Hayaaa wapumbavu mnaongezekaaaa
 
Jamani hizo ni changamoto tu za kibiashara ambazo zinatatulika kama una nyenzo. Dreamliner imetua jana kutoka Mumbai ikiwa na mzigo wa kutosha ... madawa kama sikukosea ingawa sina hakika idadi ya abiria. wiki iliyopita ilikwenda Bombardier ikazua mjadala huko kwenye media kuhusu mabadiliko ya aina ya ndege. Kwa ujumla ndivyo ilivyo katika kuendesha biashara, huwezi kuwaridhisha wote.

Air Tanzania imepata nafasi ya kuruka hadi London, na hapa ndipo mtihani mkubwa unapoanza maana huko masharti yao yanakuwa magumu zaidi kulingana na matakwa ya wateja na hapa ndipo aina ya ndege inapokuwa na umuhimu.
 
Air Tanzania wamechemka flight ya masaa machache kutumia Boeing 787 Dreamliner isiyojaza abiria wa kutosha kwenda Mumbai.
airbus a220

Picha ndege ya Air Tanzania A220-300

Habari za punde ni kuwa Air Tanzania ina mpango wa kutumia ndege ndogo za Airbus A220-300 kwenda Mumbai na huku ndege kubwa Dreamliner 787 kwenda Ulaya na Mashariki ya mbali Bangkok Thailand au China ruti za masafa marefu. Changamoto kubwa ni Air Tanzania kujaza ili ndege zifanye biashara ya kweli na siyo kupeperusha bendera ya uzalendo tu.
Air Tanzania’s Airbus A220 might be a regular to Mumbai as airline eyes London launch
July 29, 2019
Air Tanzania may regularly deploy the A220-300 on Mumbai-Dar es Salaam route from December 2019 as it plans to launch flights to London. Air Tanzania has secured slots at London Gatwick airportfor the winter 2019 season. They plan to operate 3x weekly 787-8 services from Kilimanjaro to London Gatwick. The routing may be Dar es Salaam-Kilimanjaro-London Gatwick.

airbus a220

Air Tanzania’s London Gatwick slots Source: ACL
airbus a220

Air Tanzania’s Kilimajaro – London Gatwick Source: ACL
Looks like the first flight may be scheduled for December 1, 2019, as they have secured 102 slots (51 days of operations) for entire winter 2019 season at London Gatwick. Currently, there are no non-stop flights between Tanzania and the UK. British Airways used to operate flights to Dar es Salaam with a 767. They discontinued the route in 2013 after around 40 years of flying on the route.

Air Tanzania also plans to launch flights from Dar es Salaam to Guangzhou via Bangkok when they take delivery of the second 787-8.

Air Tanzania’s A220-300 has 12 recliner business class seats and 120 economy class seats whereas the 787-8 has 22 lie-flat business class seats and 240 economy class seats. While there is product downgrade in business class, this may not be the case in economy class. The 787-8 economy class seats are 31 inches wide in a 3-3-3 arrangement whereas on the A220 they are 32 inches wide in a 2-3 arrangement.
Source : https://livefromalounge.boardingarea.com/2019/07/29/air-tanzanias-a220-mumbai-london-launch/
Napo watafeli tu maana wapo kisiasa zaidi
 
Kazi yetu ni kuzindua sauala la route halituhusu ni kuzindua kwenda mbele tu.
 
Back
Top Bottom