Mkuu, PLEASE STOP THIS!!!
UNAJUA FIKA KUWA UNAWADANGANYA WATU WASIOJUA.
Nimekupatia maelezo ya kutosha kuwa....iwapo siku moja imepita....ukicheck kwy website yao utaona "NO FLIGHT".
This is Normal kaka. Na ukicheck kuanzia siku mbili zilizopita wala hutapata information yeyote. Website zote za airlines zipo hivyo.
Mfano mwepesi tu...angalia flight za DAR-MZA za ATCL...leo hii ni Ijumaa, so ukiangalia flight utaona wamekuandikia NO FLIGHT kwa siku ya ALHAMIS simply imeshapita siku hiyo....Na hautaona kabisa info ya siku ya Jumatano.... Hii inamaanisha siku ikishapita wanaiita au wanaweka bandiko NO FLIGHT hata kama kulikuwa na ndege ama hata kama hakukuwa na ndege. Na ukiangalia kwenda nyuma zaidi ya Alhamisi hutapata info yoyote.
So ili uhakikishe kama ndege ilikuwepo si uangalie Flightradar24? Check basi link hii:
https://www.flightradar24.com/data/flights/tc400
Mbona ATCL B787 5H-TCG ilienda na ilifika salama? Huoni kweli hizi info ama unaamua tu KUZINGUA?
Haya unataka niambia tangu tar 31 July hadi 2 August Ethiopian airline hawajafanya safari za DAR-ADD?
Kama unavyoangalia wewe na kuwaaminisha watu?
Haya angalia hata safari za DAR-MZA leo ni ijumaa...check ni nini wameandika kwa jana Alhamis....does it means hakukuwa na flight jana za kwenda Mza?
Kutoka kwenye mfano hapo juu...unaona Ijumaa ndo inaishilizia na ndege zimeshasafiri...so wanakuandikia NO SEAT
Iwapo mfano kungelikuwa bado zipo yaana mfano ingelikuwa ndo saa mbili asubuhi....hapa ungeweza ona NO SEAT Iwapo tubooking zote zimejaa.
Na ili usiendelee kudanganya...ndege iliyoondoka leo iko njiani. Tuombe Mungu ATCL wafanikiwe na tuwasupport...hivi labda niulize...kwa nini unawapinga hivi? Whats your interest kwy hili?
Ukibisha na hili basi sijui unalotaka mkuu ni nini. Nikiwa kama Mtanzania mwenzio nimechukua muda kidogo tu kukuelewesha....naamini utalithamini hilo kaka.
Asante.
Note...hakuna flight iliyokuza Cancelled as you claim.