Mapya yaibuka uchaguzi wa marudio majimbo matatu

Nimeisoma post namba moja yote sijaona upotevu wowote wa pesa.

labda kuna mistari sijaisoma, hebu nieleze mstari upi unaongelea upotevu wa pesa zenu walipa kodi?
Kwahiyo unaridhika na breakdown ya matumizi ya bilions za kodi yako kujiburudisha na kuweka vocha achilia mbali per diems?

Kwa bajeti hiyo, 2020 itayeyuka zaidi ya Trillion moja. Na wanafiki mtakuja huku kutetea uchafu huo.
 
Unafki wa watu was kijani unakera sana. Kesho Mr misifa akisema kunashida NATO yatageuka na kumpongeza pengine yataandamana kumpongeza!! Jinga sana
 
hakuna jipya hapo?
Liko wapi?

Tuliopo JF toka enzi za JamboForums mada kama hii ni ya kijinga kabisa haina "justification" yoyote kuwa kuna ubadhirifu wowote uliofanyika. Ni upunguani tu kuleta mada ambayo haina mashiko.
 
Kwahiyo unaridhika na breakdown ya matumizi ya bilions za kodi yako kujiburudisha na kuweka vocha achilia mbali per diems?

Kwa bajeti hiyo, 2020 itayeyuka zaidi ya Trillion moja. Na wanafiki mtakuja huku kutetea uchafu huo.
Bajeti iko wapi na matumizi yako wapi? Sijaona.

Naona mihemko tu isiyo na mpango.
 
Jiwe atavunja rekodi ya ukwapuaji katika shamba la bibi.

Nisikiavyo wakati ule wa uchaguzi alikuwa anasema ni lazima tu shinde, wanaomzunguka walikuwa wanamjibu mzee hii ngoma bila milioni... ni ngumu.

Mzee anainuwa simu na kuamrisha wapewe.
Kama nchi imezidi wajinga tutafanyaje?

Unajua hakuna watu wakuwaogopa kama watu wajinga, kwasababu wanaweza kuchagua rais....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaturu,
Hakuna haja ya kuumiza kichwa kwa maswali kama hayo...!!
Ukweli ni kwamba FEDHA HII YOTE ILIKUWA NI PAMOJA NA GHARAMA ZA KUWANUNUA HAO WABUNGE WALIOKUWA WAKO UPINZANI ILI WAHAMIE CCM, RUSHWA KWA MAPOLISI NA TISS KUHAKIKISHA KURA ZOTE ZINACHAKACHULIWA NA KUPEWA WAGOMBEA WA CCM.....!!!Unakumbuka siku ile baada ya Kutangazwa mshindi Jimbo la UKONGA MAPOLISI WALIONEKANA WAKISHANGILIA NA KUSHEREKEA WAKIWA NA BASHITE.......HAWA NDO WALIOKULA HIYO PESA YA UCHAGUZI...!!

Kuna jimbo kama la Korogwe Vijijini HAKUKUWA NA UCHAGUZI ULIOFANYIKA LAKINI FIGURE IKO PALEPALE...!!
Wote waliotaka kuingia kwenye kinyanganyiro walipewa MPUNGA WA UHAKIKA na wakabwaga manyaga....ili CCM ipite kwa ULAINI.
Kwa lugha rahisi na nyepesi na bila kutafuna maneno... HII NI AINA MOJAWAPO YA UFISADI WA SERIKALI YA AWAMU HII YA 5.

Nakubaliana kwa asilimia 100
 
Jiwe atavunja rekodi ya ukwapuaji katika shamba la bibi.

Nisikiavyo wakati ule wa uchaguzi alikuwa anasema ni lazima tu shinde, wanaomzunguka walikuwa wanamjibu mzee hii ngoma bila milioni... ni ngumu.

Mzee anainuwa simu na kuamrisha wapewe.
Ndio story mlizokuwa mnapigiana kwenye vijiwe vya mbege mwezi Wa 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom