Mapya yaibuka uchaguzi wa marudio majimbo matatu

Kwa Uoga unaojengwa kila wakati kutoka Mamlaka za juu ni vigumu kuhoji zaidi ya kuandikwa kama hivi na Serikali kukanusha ,ukienda Mahakamani napo ndio vile upo Mhimili ulio jichimbia chini zaidi.

Raia na Wafanyabiashara tuna filisiwa Mitaji yetu kwa kubambikiwa Kodi kubwa na huna pa kufikisha Kilio chako,nna tamani Maneno ya Chidi Benzi yatimie Siku moja kwa hawa Watawala...

Pesa hamna kabisa Mtaani halafu mnafuja tu Jasho letu mlilo tupokonya.
 
Sijaona shutuma yoyote ya ufisadi hapo au kuwa hizo pesa hazikutumika kama ilivyo paswa. Sijaona mtu yoyote kulengwa kuwa kafanya ufisadi. Naona matumizi tu yamepanda. Jipya lipi?

Jipya ushataja matumizi kupanda unataka jipya lipi sasa au ulichoandika hapo hakipo kichwani mwako?
 
Mkongwe usijibizane na mpumbavu.
Wewe ni ZUZU na SHENX Type...!!Watu wanajadili UFUJAJI WA FEDHA ZA WALIPA KODI wewe unawalaumu CHADEMA...?Kweli nchi hii kuna vichaa na mabazazi wa kutupwa.Ule utafiti ulio baini kwamba katika KILA WATZ 4 kuna 1 ni KICHAA kabisa..ulikuw asahihi!!!
Na hii sehemu ya 1 katika 4 au 25% ya vichaa iko kwa NZI WA KIJANI wanaopatikana mitaa ya Lumumba......ni hatari sana kwa kweri!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipi jipya hapo?

Au roho zinawauma kuyakosa hayo majimbo?
wengine wala hatuna ushabiki wa ivyo vyama vyenu, tunalipa kodi nchi isonge mbele, ila ikitokea fununu Kuna upotevu ktk kodi zetu au hazina yetu lazima tutege sikio kwa umakini kuwasikiliza kina CAG km wasemacho Kweli au masikio yetu yanasikia tofauti,

Sasa wanafiki kama wewe nyinyi mpo kimaslai Ya matumbo yenu, na ndiomaana muda mwingine huyo NGOSHA ambae mnajifanya kumtetea mtandaoni wakati upande wa pili mnakwapua KUFURU, anawakomesha, mfano ww nyumba ndogo Ya Kisena wa Udart ambae yupo segerea kwa money laundaring na economic case, muda simrefu nawewe utaanza kuweweseka
 
wengine wala hatuna ushabiki wa ivyo vyama vyenu, tunalipa kodi nchi isonge mbele, ila ikitokea fununu Kuna upotevu ktk kodi zetu au hazina yetu lazima tutege sikio kwa umakini kuwasikiliza kina CAG km wasemacho Kweli au masikio yetu yanasikia tofauti,

Sasa wanafiki kama wewe nyinyi mpo kimaslai Ya matumbo yenu, na ndiomaana muda mwingine huyo NGOSHA ambae mnajifanya kumtetea mtandaoni wakati upande wa pili mnakwapua KUFURU, anawakomesha, mfano ww nyumba ndogo Ya Kisena wa Udart ambae yupo segerea kwa money laundaring na economic case, muda simrefu nawewe utaanza kuweweseka
Nimeisoma post namba moja yote sijaona upotevu wowote wa pesa.

labda kuna mistari sijaisoma, hebu nieleze mstari upi unaongelea upotevu wa pesa zenu walipa kodi?
 
I agree, demokrasia ina gharama zake.....

Hata hivyo, haya matumizi yaliyorekodiwa hapa ni ufisadi ulio wazi kabisa kwa jina la "demokrasia ni gharama"....

Hebu cheki hii, eti TShs 629,000,000 zimetumika kwa ajili ya CHAKULA na VIBURUDISHO na VIRUTUBISHO...sijui walikuwa wanarutubisha nini kwenye uchaguzi...

maswali ni haya:

1. Kina nani walikuwa wanakula chakula hiki?

2. Aina gani ya chakula?

3. Kina nani walikuwa "wanaburudishwa" na "kurutubishwa"? Walikuwa wanarutubisha nini? Mbegu za kiume na za kike??

4. Ikumbukwe kuwa kuna posho za kujikimu kwa kila aliyeshiriki zoezi hili. Hivi, unapopewa posho ya kujikimu si ndiyo gharama zako za malazi, chakula, kujiburudisha nk zinakuwa ndani? Iweje kuwe na fungu separate tena la chakula, VIBURUDISHO na virutubisho na wakati huo huo kuna posho???

4. Hivi tukisema, serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli Pombe ndiyo imefungulia bomba la ufisadi tunakuwa tunakosea wapi???

5. Je, huu si ndiyo ushahidi usio hata na chembe ya shaka?

6. Iweje majimbo matatu tu yatafune billion 270 wakati majimbo 265 yalitumia kiasi pungufu ya hicho?

7. Serikali inapata wapi uhalali wa kuwachangisha wananchi elfu 10 ama 20 ama 50 eti kumchangia ujenzi wa madarasa ama zahanati wakati kuna kikundi kidogo cha watu kinafuja fedha na kodi zetu kiasi hiki???

HAPANA, HILI HALIKUBALIKI. tusidanganyane, tukatae hili. TUSEME wote ENOUGH is ENOUGH!!!
Chaguzi hizi zimetumika kama njia mojawapo ya upigaji dili wa ukoo wa panya .
 
Ungejipa nafasi ya kusoma kwa utulivu ungegundua mapya....,

Kwa kifupi 2015 majimbo hayo yalitumia million 996 kila moja,miaka miwili baadae inatumika 4•1 billion kila jimbi...!!!!!!! hili ndilo jipya ila soma mwenyewe utagundua mapya mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app

That is the bottom line. Ongezeko la zaidi ya 300%! Incredible, to say the least.
 
Back
Top Bottom