Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Alitoa taharifa polisi ya kutishiwa kwenda kwenye msiba?
 
Duuu hiyo familia wasipoangalia watachinjana kama kuku
Ndg yangu,ngoja nikufumbue kitu! Mfano,haujasikia sehemu ya tukio la ujambazi,jambazi kadondosha kitambulisho. Ama wanandoa wakware kukutana guest kila mmoja kaja na patina? Na huo ndiyo unakuwa mwanzo wa unafiki kubumburuka.
M/Mungu mara nyingi hudhalilisha sana wanafiki.
Huyo hg ndiyo kitambulisho cha kwenye tukio, mnyororo mzima utanaswa na mauaji ya kis..he..nzi hayatafanyika tena. Sababu simulizi hii yaonesha master mind kadakwa.
Wale wauwaji nao tumbo joto. Hawawezi kuendeleza umyama wao wakati Mastermind wao yupo ndani,Mrorongo wa kamatakamata ni mref na umepamba moto. Tutasikia mengi ya kuchefua roho kwenye kadhia hii.Na tusubiri tuone.
 
Hapana hapa Arusha kuna vijimaneno sijui kama vinabeba ukweli lakini ndio habari ya mjini.Kuna madai kwamba Erasto alikuwa karibu zaidi na Dada yake kuliko mke wake hadi watu wa karibu wakawa wanahoji kulikoni.

Bibie Nifah nimetumia lugha ya kistaarabu zaidi nadhani umenielewa.
 
Nakubaliana na wewe mkuu ila pia sitaki kuamini huyu mama ndie mastemind wa hili tukio ,Dunia imebeba mengi ndugu yangu ,kuanzia mauaji ya Erasto ,dada yake mwingine aliyepigwa risasi ila akapona halafu ,huyu mdogo wake aliyechinjwa ....hapana kuna wanaojua huu mchezo zaidi ya mkewe ,tusubiri tu wenye mamlaka wafanye kazi zao ,hata wasipofuata weledi bado ukweli una tabia ya kujitenga na uongo
 
huyo mama inabidi apewe ULINZI wa nguvu maana kama ameua kweli ananuka DAMU tu asije akaondoka na MTU mwingine.
 
Hilo usemalo ni kweli shida ya huyu mama wa kimeru ni mali ya mwanae tu ......mama n watoto wa kike ndio shida kubwa hapo kungangania mali za marehemu ambazo haziwahusu kaacha mke n watoto ndio warithi wake
 
Fungukaaa zaidilohh eeeheee
 
Hilo usemalo ni kweli shida ya huyu mama wa kimeru ni mali ya mwanae tu ......mama n watoto wa kike ndio shida kubwa hapo kungangania mali za marehemu ambazo haziwahusu kaacha mke n watoto ndio warithi wake
Amesahau aliemilikishwa n mkwewee hataa akitokaa ajui kisasi kinaongezeka zaidi badalayakuweka sawa NA mkwe we jaman
 
inawezekana alikuwa nao erasto alikuwa mzinzi sana................
Mkuu hiyo familia inamatatizo sana mariam alishinda kesi ya mirathi na ndio mwenye mali na wanae......sasa antuja na mama yke ndio wanataka hizo mali wakti sio zao hilo liko wazi
 
Amesahau aliemilikishwa n mkwewee hataa akitokaa ajui kisasi kinaongezeka zaidi badalayakuweka sawa NA mkwe we jaman
Hilo linajulikana na liko wazi....walipewa apartments nane ziko ngulelo ila naona hawaridhiki tu
 
Mkuu hiyo familia inamatatizo sana mariam alishinda kesi ya mirathi na ndio mwenye mali na wanae......sasa antuja na mama yke ndio wanataka hizo mali wakti sio zao hilo liko wazi
Hahaaa antuja anapoteza mda tu anahisi ukaribuwake NA marehemu ungesaidia kupataaa urithii akaahangaike NA mumewe wajikomboee
 
uwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa

Kwahiyo wewe haukutaka watuhumiwa wapatikane!!!!
 
Connecting the dots......
 
Uzuri ni kwamba mahakama hawafanyii kazi hisia ,sitaki kuamini huyu mama anahusika au hausiki ,mwisho wa siku ukweli utajulikana tu
Huu mziki ndio umeanza yetu macho ila mama mkwe na dada wa erasto ndio tatizo kubwa....mauaji ya erasto na mauaji haya ya anneth hayana uhusiano hata chembe....huyu mama cdhani kma anahusika mana mariam mali yote ni yke alitafuta yeye n mumewe
 
uwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa
Ww unamlaumu muuaji kwa kuacha mark, traces.... sisi tunamlaumu kwa kutoa uhai wa mtu
 
Hapo mwisho rekebisha kuna shida kidogo. Aliyekamatwa sio dada wa marehemu bali mke kufuatia maelezo aliyotoa binti wa kazi wakati wa mahojiano na polisi

Sijui ana haraka gani , kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha sio huyo aliemtaja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…