MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Miriam anahusika? ...nimesisimka mwili.
Kabila gani huyo mama?!HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Soma kwa nguvu utaelewaSijaelewa mada. Sijaelewa kilichoandikwa. Sijaelewa namna ulivyo andika.
We nu ndugu na mtuhumiwa?Ni kwel hakuhudhuria ila ni baada ya mama mkwe kukutaa akidai kua akimuona atapata presha na anaweza kufa lkn pamoja na kuzuiwa kwenda alitoa wafanyakaz wa hotel yake na rambirambi shs million 3,,hiyo yote inasemekana wakwe na mawifi wanazitaka mali za marehemu ndo mana wanamsumbua mke wa bilionea Erasto,pia ndugu wa Erasto wamekuwa wakimletea watoto wa nje wakidai ni wa marehemu ili awape urithi na huyo dada anatoa tu hapo police wafanye uchunguz wa kina kuna kitu kinatafutwa
Habari zinasema beki tatu aliondoka before tukio kutokeauwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa
Mkuu, uzi wa kwanza kuletwa kuhusiana na hii issue, uliletwa na somebody Pdidy. Kama unaweza, utafute then usome. Ukiuelewa bila ukakasi nitakupigia saluteSoma kwa nguvu utaelewa
Mkuu mshana unajitahidi kuwa na busara hongera sanaNaomba nikujibu kwa upole kwamba kulikuwa na makosa kwenye hiyo post yake , nikaliona kosa nikamweleza kupitia reply hii naye akaliona na kulirekebisha
Nitakuwekea uone ni nani kakurupuka kati yangu mimi na wewe
Wamesema Mpare!Huyo mke wa Erasto ni kabila gani?
Haya majina ya kichaga chaga, wanaweza kuwa watu wa machame hawa..hatari sanaNasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Haya majina ya kichaga chaga, wanaweza kuwa watu wa machame hawa..hatari sana
Dada, ama Mke wa Marehemu? Ukijua kabila la marehemu, bila shaka litakuwa ndilo kabila la Dada!!Huyo dada ake marehemu ni kabila gani? Kama ndo wale basi ....
Sory, nlitaka kusema mke, nilikoseaDada, ama Mke wa Marehemu? Ukijua kabila la marehemu, bila shaka litakuwa ndilo kabila la Dada!!
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................