Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

To a sababu za kutishiwa bastola NA ulichukua hatua gani Jf HII sio ya majungu kuinama....ulimfikisha wapi.....
haikuhusu ?............................ wala siendelezi hapo ndo nimefikia mwisho japo ninayo mengi tu ya kusema hapa,

hapo nimejaribu kusema machache ili msishangae sana mkisikia wake zenu wanakuja kuwatoa uhai ishi na mwanamke kwa akili
na wewe ndo unataka nianze majungu shindwa kuanzia kiunoni kuelekea chini
 
hahahaha hapana .................... hata sisi tuanmfahamu mama sg
 
ID extra.naamini ukweli utajulikana kwa shida sana maana kuna hela inatembea hapo#ila kuplan tukio la mauaji huwa ni ngumu sana kwa hiyo sio jambo la kufanya
Hata ulaya penyewe huwa wauaji wanaishia kukamatwa sana tu hasa ukiangalia Chanel zao maana muuaji hata awe makini vipi huacha evidence hii ni kwa sababu tukio lenyewe huwa sio la kawaida labda police waache tu kufatilia kwa makusudi.
 

mimi sina ukoo na hao jamaa nimewahi kuwa manager wa sg resort kitambo kidogo lakini huyu mama alituhangaisha na kutunyanyasa endelea kuona ni bmajungu kijana sawa tu..................
 
kwani sg ni nini si majina ya watoto simon and gloria?
 
Nazidi kupata sababu za kuto oa

Wakuu endeleeni kuchochea moto mpaka niwake tamaa kubwa ya kuto oa.
 
Mkuu hivi hujui kabisa kinachoendelea?
Mm naamini lazma unajua hebu tuelezee kidogo[emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40] [emoji40] [emoji40]kesi iko mahakamani
 
acha kumwongezea kuni mwenzako kwenye moto ambao tayari unamuunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…