Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,567
- 12,206
Kesi za wenye hela huwa haziishagi,hadi upande moja uishiwe.Huoni Mahakama za mafisadi hazina kesi!Duh! Hv hii kesi iliishia wap?
Kesi za wenye hela huwa haziishagi,hadi upande moja uishiwe.Huoni Mahakama za mafisadi hazina kesi!Duh! Hv hii kesi iliishia wap?
Hili si la kushangaza kwa wanawake wa Mererani katika miaka hiyo Erasto alipooa. Mererani ilikuwa Mererani kweli wakati huo, pesa nje nje na kila aliyejaribu kuchimba alipata. Wanawake waliruka kama nyuki kutoka ua moja kwenda lingine lenye asali zaidi, na hakuna aliyesikitika, demu huyu akikuacha leo tu kesho yake unapata mkwanja zaidi anakuja demu mkali zaidi, ndiyo hivyo. Kuhusu bastola ilikuwa kawaida sana Mererani kabla ya kunyonywa nguvu sasa hivi na wawekezaji na madini kupungua. Kule ilikuwa jungle justice, kubwa la maadui ndio linasurvive.HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Inaonekana umeishi hili chimbo kwa mrefu mpaka hio familia unaifahamu backgrounds yakehahaha ni kweli jamaa kurudi kutoka kusaka mkwanja, maana alimwacha mkewe anauza duka la nguo kakuta vumbi...... mwenye mkwanja keshabeba mke....😛😛😛😛 wake yule mrangi alisononeka sana.
Ata miaka 10 utakuwa tuHuu Uzi bado upo?
Ipo ndgu wa mke ndio wanasimamia show kwa sasaSijui ile Vogue bado ipo.
swali zuri sanaHahaha mlikuwa mnagombea nini?
wape dozihahahaha haaa nimecheka sana kwakwelihii thread siisomi tena maana
Alimaliza mwaka gani hapo?nilikuwa hapo tisini na kweusi!Annate mwa clasmet rutheran junir seminary RIP
Mkuu kumbe msimamo wako mwanzo ulikuwa huu?!!Hilo usemalo ni kweli shida ya huyu mama wa kimeru ni mali ya mwanae tu ......mama n watoto wa kike ndio shida kubwa hapo kungangania mali za marehemu ambazo haziwahusu kaacha mke n watoto ndio warithi wake
......Mkuu hiyo familia inamatatizo sana mariam alishinda kesi ya mirathi na ndio mwenye mali na wanae......sasa antuja na mama yke ndio wanataka hizo mali wakti sio zao hilo liko wazi