glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,019
- 1,411
Kuna uwezekano maana naona na gari walilotumia wauaji limekamatwa nafikiri kwa sasa litakuwa limefikishwa Dar. Lilichukuliwa CMC ni Toyota Hilux rangi ya bluu
Wapelelezi waga nawaheshimu sana, maana hilo gari nani atakuwa aliliona siku ya tukio, au mtoto wa marehemu
