Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Kama ni hivyo na wewe usingehangaika na hukumu/assumption. Tupo kwenye mjadala, matokeo ya upelelezi baadaye. Labda pia CID`s wanapita hapa kupata clue

Kitendo cha wewe kutumia itakuwa, inawezekana, au nk ni kujichosha tu.
 
Roho ambazo hazipaswi kuwepo duniani.Ni kwakua tu hatufahamu maumivu aloyapata ndo mana wengine wanakuja hapa kutetea upumbavu. Kwani alikua mnyama mpaka astahili mateso yale... Huyo mama Simon ndo wa maana sana asiguswe? Eti anasingiziwa? Kwanini yeye na sio wengine? Inaumiza sana jamani na matendo mengine mabaya usikute waliya fanya .....kweli inasikitisha sana.
Una ushahidi gani kama amehusika?kwani tayari hukumu yake imeshatoka?Sote tunasikitika kwa kifo cha aneth lakini ni mapema mno kumuhukumu mtu kabla hajahukumiwa na mahakama.
Kama ni kweli yeye kafamya hayo mauaji atahukumiwa kwa sheria zilizopo.Epuka kumuhukumu mtu kwa kusikia tu.
Mimi nipo neutral kwa sasa ninachosubiri ni hukum ya mahakama tu siwez kumuhukumu mtu kwa kusoma maoni ya watu wenye id feki humu maana kifo cha uyo binti kina utata mkubwa sana mpaka hukumu itakapotolewa na mahakama,usilaimu mtu yeyote kwa sasa.
 
Yaani hawa watetezi wa Ma sai watarukwa na akili, MTU anaona real pic, lakini anajitoa ufahamu?!?!...eti beki 3 kasetiwa khaaa?!?!!
Kiongozi hakuna kujitoa ufaham kiongozi,labda unisaidie kujua kama hata kesi imeshaanza kusikilizwa.mahakamani?
Vinginevyo tunavyofanya humu ni sawa na kujichukulia sheria mkononi tutamuhukumu vipi mtu ambae hajahukumiwa bado na mahakama?
Itendeeni haki jf kama home of great thinkers!
 
Faza,

Hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

Hii ni court of public opinion. Haina standard of proof wala nini.

Hivyo usishangae kuona wengine wako tayari kutoa hukumu zao na wengine wakiwa washazitoa ilhali wengine mpo ambao mnasema msubiri kwanza.

So that's how the court of public opinion operates.

Anything goes.
 
Amefanya jambo lakijinga sana...unaHela halafu unafanya makosa yakibwege namna hiyo..Nway huenda nae zake zilikuwa zimefika...MTU anaejua mambo hayo na Hela anayo yuko tayari kuagiza wazee wakazi popote Duniani wakakufanyia kz yako NO..trace wala nini Eti...unamtumia Back 3 duu
Roho ya binadamu sijuinilinganishe na nini. Muuaji kma si leo kukamatwa basi kesho atakamatwa!
 
haya binti housegal yuko dar kwa anety,huyu mama saimon yuko arusha alimshauri kivipi ukichukulia huyo housegal aliletwa kuja kufanya kazi kwa anety akitokea kwao anety?,connection ipo kweli kati ya mama saimon na huyu housegal?.
The only way polisi wataprove maneno ya housegal ni kuangali rekodi za simu ya huyo houselgal na mama saimon kama kweli kuna connection.

Simu ya huyo housegal ndo inaweza sana kusaidia kwani kumbukumbu zote za watu aliokuwa akiwasiliana nao zinaweza kutoa jibu

Tukae kimya kabisa , unaambiwa wametrace wamekuta wanawasiliana vizuri kabisa Kama Ni Kwli mama itabidi atueleze alikua anawasiliana nini Na house girl Na kwa nini alimshauri atoroke alikua amepanga kufanya nini atueleze huyo mama amefanya uhuaji wa kiboya ever angetuma waauaji huyo dada akiwa humo humo ndani kwa kweli Damu ya mtu haiendi bure Kama amehusika Na yeye afanyiwe Kama alivyofanyiwa aneth mpaka kifo chake
 
Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani

Labda alipata taarifa Za kutoroka kwa house girl Kama mama mlezi wa anate akaona ampigie kumbembeleza abaki Au kujua alipo watu wana comment hapa kua huyo ndio aliyemlea anathe so kuna possibility anathe alikua anawasiliana nae akipata shida police waende kuomba mawasiliano ya mama Simon Na marehemu kabla ya kufa kwake yalikuaje je walikua wanawasiliana frequently
 
Anethe amelelewa kwao mererani kairo istoshe baba yao yuko vizuri kiuchumi kitambo.story kua kamlea hazipo kwani mtu likizo akija kwako ndio umemlea
 
Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani
Watu wanashangaa housegal kuwa naconnection na huyo miriam...simple..house aliwahi kuwa housegal wamama erasto(ma mkwe) kwa miaka mingi....meaning huyo miriam na mumewe walikua wanamjua hougal ht pia kumzoea sababu anaishi kwa mama yao..ht akihama ukaribu hauwez isha...
Mbona ht mm housegal wa mkwe wangu nimemzoea na japo wana ishi mkoani...ili happen tumeenda ukweni housegal mchangamfu tukabond as if tunajuana miaka...so it is possible housegal kutumiwa na bidada
 
Mkuu huwezi kua na mazoea unampigia cku 10 kwa cku kuliko hata meneja wako wa hotel.au housegirl alikua mshauri wa mariam kibiashara
 
Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Na hawara mtu kakamatwa movie bdo inaendelea.
 
Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Kijana hebu tengua kauli yako... Hata Mungu nae huwa anakosea, ina maana huoni walemavu walivyozagaa mitaani? je walipaswa kuzaliwa vile kwani...!!

TRUST NO ONE!
 
Back
Top Bottom