Mapya kifo cha dude

Nchi za Afrika ufisadi hauwezi kuisha
 
Mshana Nimegundua kumbe pamoja na yote hujawahi kukutana na Madon wenye majina unaowajua wewe hapa Tz,Unajua kwamba Hwa top notch ya matajiri wa Tz wengi wanalindwa na usalama wa taifa na Makomando wa kijeshi kabisa?? Hii ipo nchi nyingi sana
Nimemtajia mifano michache
Mo Dewji baada ya kutekwa aliomba ulinzi akapewa(Polisi wawil)
Gwajima
Rostam Aziz
 
Watu wana connection zap za siri na za wazi
Nyingi ni za siri giza giza.
Hivi urafiki wa Samuya na Chivayo umetoka wapi miaka 4 tu
Wazungu wangapi wamewekez Tz na wametuma rambirambi (kama salamu) lakini Chivayo kaja moja kw moja, ni kiasi gani cha mchango wa kampa Samuya.
Mtu kama Samia ukimnunulia tu abaja anakupa nchi.
 
Staged helicopter crash to run away from USA investigation about chivayo wealth
 
Huyu jamaa alikuwa “Kingmaker” wa ZANU-PF. Na ndiye aliyepewa tenda ya kuchapa kura kule Zimbabwe. Kuna uwezekano alitumika hata kule Malawi kwenye mambo ya uchaguzi. Ndo maana ya heshima anayopewa pamoja na mengineyo.

Kwa vyovyote vile, kutokana na historia yake, kuwa kwake na urafiki na hao ccm kuna mashaka makubwa sana.

Time will tell…
 
Yapi maoni yako Mshana zaidi ya maswali ya kujiuliza maswali ya kujipa majibu ya papo kwa kwa papo,ipi tafakuri yako binafsi??
 
Yapi maoni yako Mshana zaidi ya maswali ya kujiuliza maswali ya kujipa majibu ya papo kwa kwa papo,ipi tafakuri yako binafsi??
Haijanyooka sana japo inaonekana ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…