sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,634
- 11,691
Sawa sie wenyewe watanzania linatusaidia..nyie nchini kwenu lipo la aina gani?Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Sawa sie wenyewe watanzania linatusaidia..nyie nchini kwenu lipo la aina gani?Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Nenda Kaishi huko.Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Mkuu flyover ya TAZARA imejengwa kwa pesa za Ufalme wa Japan na pesa za serikali ya Tanzania. Daraja la Kenyatta hadi Sea view ndilo linajengwa kwa pesa za Korea Kusini.Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
Yaani hutaki watu washangilie mafanikio ya nchi? Watu kweli mna roho ya korosho.Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Mkuu flyover ya TAZARA imejengwa kwa pesa za Ufalme wa Japan na pesa za serikali ya Tanzania. Daraja la Kenyatta hadi Sea view ndilo linajengwa kwa pesa za Korea Kusini.
Sio korea kusini ni Japan
Wewe usiye na taarifa sahihi usitugombanishe na serikali ya Japan iliyogharamia ujenzi wa daraja la TAZARA.
Soma vzr uzi mkuu then fananisha na kigamboni bridgeLile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Mkuu lengo lako hasa la kuanzisha huu ilikua kutujuza au kubishana?Endelea na ngonjera za kujifanya hamdaiwi thubutuuu mnamideni mpaka uvunguni na Hanna cha maana kilichofanyika zaidi ya kujifanya ukichaa wa kununua korosho
Wewe kweli mzaramo. Msijisifu tembeeni muoneNenda Kaishi huko.
Sawa mtoto wa kikeNi aibu sana mtoto wa kiume kukashifu kwao na kusifia kwa jirani huo ni udhaifu mkubwa na dalili mbaya hasa kwa zama hizi zilizojaa maovu
TTCL hii ambayo sasa inakwenda kuanguka tena au ipi?Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Japan na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
TTCL hii ambayo sasa inakwenda kuanguka tena au ipi?
Na wewe ni bavicha?Anazindua tuta halafu kelele kibao watu hayo matuta wanayo tangu mkoloni.
Sio kwamba nashangilia mafanikio ya wengine unapojisifu unakimbia angalia wenzio walipo. Ndio gape lenyewe hilo, bado sana.Yaani hutaki watu washangilie mafanikio ya nchi? Watu kweli mna roho ya korosho.
Kwa hiyo unataka na sisi tujenge kama hilo au nini hasa pointi yakoAnazindua tuta halafu kelele kibao watu hayo matuta wanayo tangu mkoloni.
Kwaiyo wabunge wa chadema wanauzwa?Nilijue la kazi gani wakati Flyover zinaonekana? nyie mnakopa nusu mnajengea tuta nusu iliyobakia mnanunulia wabunge na madiwani huo si ukichaa