Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.
Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.
Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?
Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.
Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.
Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.