Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Na afadhali hata wajenzi wangekuwa wachina wangejaribu kuweka mataa ya kuwaka waka kama ya daraja la kigamboni ili iwe DANGANYA TOTO lakini WAJAPAN wamejenga DARAJA MCHOKO labda kwa kuwa ni la MSAADA afadhali hata UBUNGO ndio tungesema kuna FLYOVER
 
Nenda Kaishi huko.
Ha ha ha umepanic mkuu, Hamna kitu. Zindueni hayo matuta yenu kimyakimya sio kila hotuba. Tuta la tazara tumejenga sijui nini nini kujisifu kusikoisha. Haya hilo la kwanza tu mkiendelea kujisifu tutawaumbua tu hamna namna.
 
Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!

Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!
.....
......J4 bana Mkuu nimecheka sana
 
Tanzania haijakopa kujenga flyover ya TAZARA bali ni msaada wa kutoka Korea Kusini.

Na ni haohao wakorea wametoa tena msaada wa kujenga daraja la Salender.
Tzr flyover msaada kutoka Jp
New Selander bridge msaada kutoka Korea
 
Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.

Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.

Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?

Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Japan na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.

Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.

Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
Unadhani msaada ni bure?
 
Back
Top Bottom