Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Maputo yaipiga bao Da r es salaam

Yaani Kwa daraja hilo ndio umeconclude Maputo kuizidi dar?
Aliyekuroga kafa tena kafa Kwa ndonda!
 
Kutamani vya jirani sio kitu kizuri. Hujui nini kagharimika. Mchuchuma na liganga vyatosha watuache.
 
Soma tena kwa uzuri hiyo habari halafu uchanganue.

Ni yaleyale ya Zambia, yaani huyu Mnyusi na Lungu wa Zambia wanauza maliasili na mali za wananchi wa nchi zao kwa China.

Sasa wafahamu Msumbiji wanadaiwa kiasi gani kutokana na fedha wanazokopa kutoka China?

Flyover ya TAZARA imejengwa kwa msaada wa serikali ya Korea Kusini na mtu akitaka kutupatia msaada basi tunamwomba ajenge kitu, huko ndo kutumia akili kwa sisi waafrika.

Raisi JPM amekataa jambo hilo na ndio maana tunajenga reli zetu na mali kama TTCL zinarudishwa kwa watanzania maana hizo ni mali za nchi.

Nchi yoyote ile inayouza "state assets" yaani mali ya nchi maraisi wake wana matatizo katika kufikiri.
Wewe usiye na taarifa sahihi usitugombanishe na serikali ya Japan iliyogharamia ujenzi wa daraja la TAZARA.
 
Acha utani ! Eti tuta kubwa ! Hiyo ni fly over ya uhakika yenye kiwango .
 
Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!

Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!
Jiwe ana miradi mingi mikubwa..hao wengine wanajaribu kupitia jiwe..kumbuka jiwe ana mradi wa bomba la mafuta from tanga to UG..jiwe ana mradi mkubwa wa ufuaji umeme wa stieglers gorge..jiwe ana mradi mkubwa wa SGR na utafika kigali..jiwe ana harakati za kuhakikisha ndege zake zinafika India,Guangzhou mpaka USA..huyo ndio jiwe..bado mna miaka saba ya kula ndimu
 
Back
Top Bottom