kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,206
- 7,358
Tanuru.Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Tanuru.Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini
Mimi ni mdau wa masuala ya mitandao ya simu, naam ttcl sasa imekwama maana watu hawaitumii na taratibu majibu utayaona ikianza kuendeshwa kwa hasaraWapenda kuona ikianguka?
Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!
Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!
Mimi mwenyewe mtanzania tuambie umeshawahi tembelea nchi gani tangu umezaliwa?Sawa sie wenyewe watanzania linatusaidia..nyie nchini kwenu lipo la aina gani?
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
hana lolote kazi kupinga kila kituKuna Watu huwa najiuliza Mliumbwa wakati Mwenyezi Mungu ameishiwa ' akili ' za kuwapa Wanadamu au hamkuumbwa na Yeye? Hivi Mtu mwenye akili sawasawa anaweza akafananisha Daraja linalopita barabarani ( Flyover ya TAZARA / MFUGALE Flyover ) na Daraja la Nyerere linalokatika Baharini kuelekea Kigamboni? Halafu inaingiaje ' akilini ' kama kweli Wewe ni Mtanzania wa kweli ukawa bila ' aibu ' unakejeli ' Maendeleo ' ya nchini Kwako kwa gharama ya Kuipendelea na Kuisifia nchi nyingine?
Daraja la kigamboni linakatisha wapi?
Au kuwa chadema lazima uwe fyatu wa akili ?
Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!
Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!

Lile la Tazara ni Tuta kubwa tu sio fly over wala nini[/OTE]foleni kama kawaida