Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Mbuni ni nyinyi mnaojiita vichaaUbongo wako ni wa mbuni
Mbuni ni nyinyi mnaojiita vichaaUbongo wako ni wa mbuni
Halafu huo ushaidi usaidie nini kwenye utawala wa kidikteta uchwara?Kama una ushahidi ni uzuri ukauweka wazi ati au?
Mbuni ni nyinyi mnaojiita vichaa
Nchi haifuati misingi ya sheria ushaidi utasaidia niniKama una ushahidi ni uzuri ukauweka wazi ati au?
Halafu huo ushaidi usaidie nini kwenye utawala wa kidikteta uchwara?
Nasari alitoa ushaidi wa Mnyeti akitoa rushwa kununulia madiwani wa Arumeru ulisaidia nini wewe nyambafu!!!!!!Utasaidia kufahamu kwamba kuna hio kitu inafanyika maana ushahidi na vielelezo vitakuwepo.
Nasari alitoa ushaidi wa Mnyeti akitoa rushwa kununulia madiwani wa Arumeru ulisaidia nini wewe nyambafu!!!!!!
Bora hao sana deni lakini walichokopa kinaonekana sisi tunakopa kuhamia Dodoma, tunakopa kununua vitu invisibleUsinitukane, tumia tu maneno ya kawaida na ustaarabu ati.
Halafu hayo unayoongea si mahala pake hii mada yahusu Msumbiji.
Anyway napenda mchango wako ila punguza hasira na jazba.
Hiyo ya Nassari na ushahidi mimi ndo nasikia leo kutoka kwako.
Sasa turudi kwenye mada ya Msumbiji.
Je ni sawa nchi hiyo kujiwekea akiba kubwa ya deni kwa kisingizio cha kujenga daraja?
Mbona hata Dar kunajengwa daraja la kupita baharini?Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Bora hao sana deni lakini walichokopa kinaonekana sisi tunakopa kuhamia Dodoma, tunakopa kununua vitu invisible
Kushangilia daraja la Tazara ni ulimbukeni au ni ushamba. Maputo city imezindua bonge la daraja linalovuka bahari, Dar tunachekesha sana fuatilia BBC
New bridge spans Mozambique capital
Msumbiji huko mbeleni lazima watatafutana. Wengi wanashabikia mafanikio bila kuangalia ya gharama ya hayo mafanikio.Mozambique's debt problem
By Will Ross, BBC Africa editor
China has invested heavily in Mozambique's construction industry and built the country's parliament, several government ministries and the national sports stadium, as well as major new roads. China has also loaned money for the construction of a railway to transport coal to the coast for export.
There has been concern over China's involvement in the timber business. As well as legal exports, Chinese loggers have been involved in timber smuggling and the government earlier this year said several Chinese nationals had been arrested. Hardwood exports from Africa to China have soared as supply in Asia has dwindled. Mozambique has lost nearly three million hectares - or 10% of its forests - since 2000.
Gas exploration ought to produce vast income for the government within a decade but as is the case with several other African countries there are concerns over the sustainability of Mozambique's debt - by the end of 2017 it owed more than $2bn to China.
In February it was revealed that it was more than $700m in arrears on debt repayments - much of which it had hidden from the International Monetary Fund.
Unafiki ndio unatusumbua mkuu.Kwanini Watanzania tunapenda kuongea katika nafsi ya KUTOWEZA?
Mozambique's debt problem

Jamani hebu mpeni break jiwe!! Nyie ndo mnaharibu maana akiona hii habari kesho atakurupuka kuanzisha hiyo project pale baharini ili tu awa prove wrong bila kujali kipaumbele cha nchi kwa wakati huo ni kipi!!
Jiwe anafanya kazi kwa panic mwacheni atulize kichwa mtamuumiza na hizi habari!
Wewe kweli kasi noma, ungejiita sarcoma kabisa. Yaani unajitia. Vijimifano vyako uchwara shida yetu sisi ni tambo za bongo kama vile wao ndio best in Africa . aka donor country hahahaaaaAcha mambo ya ajabu mtoa maada.
Kwahio unataka watu wasisherehekee kupata degree ya 1 kwa sababu kuna watu wenye phd.
Au mtu asisherehekee siku ya kuzaliwa akiwa na miaka 24 sababu kuna wazee wenye miaka 69..
Sisi tunafurahia daraja letu kwa nafasi yetu acha na wao washerehekee lao.
Maana hata china wana madaraja na flyover kubwa tu zaidi ya hio ya msumbiji lkn msumbiji wanashangilia