Mapokezi makubwa yamsubiri Dk. Slaa Katavi, Polisi waanza

Achana na huyo MPUMBAVU aha..............Kuliko kujibizana naye hebu muweke kwenye ignore list..........Uendelee kuwaelimisha wale wanaohitaji kuelimishwa......

Well said mkuu....I seriously take ur advice!!!!
 
Well said mkuu....I seriously take ur advice!!!!

Thanks my brother.Hawa wako busy kukasirisha watu ili wapewe BAN na wao waendeleze matusi.Niliwahi kuumuuliza mmoja akaniambia hiyo ndiyo nia yao hasa..........Hivyo usiingie kwenye shimo la moto bila sababu...........
 
Thanks my brother.Hawa wako busy kukasirisha watu ili wapewe BAN na wao waendeleze matusi.Niliwahi kuumuuliza mmoja akaniambia hiyo ndiyo nia yao hasa..........Hivyo usiingie kwenye shimo la moto bila sababu...........

Yes! Nimepata point hapa...........Wajinga wajinga ni kuwapotezea tu
 
Ule Mkutano wa Sumbawanga kwa kweli ulikuwa na ujumbe muhimu san ni wa kushangaza mwitikio namzizimo haukuwa wa kawaida Makene tumeni hizo taarifa basi hata ITV
 
Hamasa ni kubwa mno. Mwaka wa kuhitimisha empire ni huu.

Daktari ameshakabidhiwa dhana za kazi.

Makene thanks so much bro . Naona Mzee Slaa hapumziki ngoja achape kazi kwa kweli maana Watanzania wote wanamfuatilia kwa makini .
 
Tuimani Makene: weka habari na picha ili hoja iwe imeshiba.

Unasubiri kulishwa upepo tu,Unamgeuza Makene Tv Yako wakati mwenyewe anatumikishwa na mabwana zake!HAKIKA MWAKA HUU MTAZIMIA WENGI MAANA USHINDI MNAOUTARAJIA MTAUPATA MWAKA 2090.
 
Ahsante mtabiri mpya nawe uwe na mashetani ya kuwalinda viongozi wenza.

Hayo mawazo ya kuongoza nchi sijui mnayatoa wapi wakati mmeshindwa kupambana na ufisadi wa matumizi ya Ruzuku mnayopewa na Serikali ya CCM ndani ya CHADEMA ni kuweweseka!
 
attachment.php
 
Makene jaribu rekebisha hatuoni pcha mkuu.tunaomba tupe ya uwanjani na anasema nn.tupo weng hapa tunasubiri kwa hamu kumwona rais wetu na mkomboz wetu dr slaa
 
Back
Top Bottom