Mapokezi makubwa yamsubiri Dk. Slaa Katavi, Polisi waanza

Makene jaribu rekebisha hatuoni pcha mkuu.tunaomba tupe ya uwanjani na anasema nn.tupo weng hapa tunasubiri kwa hamu kumwona rais wetu na mkomboz wetu dr slaa

Mko wengi wapi,uko mmoja na simu yako ya mchina unaota barabarani ukiwa unatembea Prof.Lipumba keshapewa rungu kwao awaongoze ukawa nyie mwaka huu Mnapasuka, jana mbatia kasema mmejaa ubinfsi kwishaa nyie CCM this time itawakanyaga sana!
 
Pumba tupu
 
mko wengi wapi,uko mmoja na simu yako ya mchina unaota barabarani ukiwa unatembea prof.lipumba keshapewa rungu kwao awaongoze ukawa nyie mwaka huu mnapasuka, jana mbatia kasema mmejaa ubinfsi kwishaa nyie ccm this time itawakanyaga sana!

unaota ndoto za mchana wewe...wenzako huko wanatafunana cyo utani watabikiza hyo chama chenu cha mafisadi kikiwa mifupa
 
attachment.php

Pole kijana picha hakuna naona CCM wanakuchanganya,ukiwa mmoja wa wasemaji wa CDM mwaka huu mna kibarua kikubwa sana kuelekea Ikulu kuliko wakati mwingine wowote mliodhani katika maisha yenu! Ruzuku mnazopewa na Serikali ya
CCM mnatafuna sana na hesabu zake hazieleweki mpaka CAG kawapa hati ya mashaka, hivi hili mbona hamuwaambii wanachama wenu kuwa na nyie ni wafujaji wa pesa za umma?
 
ukimaliza hili la picha za mkutano wa katavi uje utueleze ukweli kuhusu cag na hati ya mashaka ya cag aliyoitoa kwenu kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku mnazopewa na serikali ya ccm.

Wewe nenda ukaungane nawenzako hawa muendeleze mazingaombwe yenu huku sio saizi yako
 
Unatakiwa ukapime AKILI YAKO.Yawezekana Madawa ya kulevya yameshaharibu nuts zote

kwenye ubongo.

Wewe sio ukapime tu umetumika vya kutosha jibu hoja ukisaidiana na Makene, Mseme fedha za Ruzuku mnazopewa na Serikaliya CCM mbona mmetumia vibaya hamna tofauti na wenzenu mpaka CAG kawapa kadi nyekundu ya hati yenye mashaka??nyie si wasafi na watetezi wa raia kumbe mafisadi wa Ruzuku za Serikali ya CCM???kuna upinzani hapa au ni maigizo mnatufanyia nyie?
 
Unajua ninaposoma maandiko yako ninaona kumbe kweli wewe ni mtu uliyejaa frustrations. Kwa hiyo hapa unapoandika hizi pumba, zinakusaidia nini?

Mboan unaonekana ni mtu uliye low sana?

Kuna watu wenye akili timamu wanashindanaga eti aina ya simu sijui gharama? Si uende ukaungne na watoto wanaoingia umri fulani ambapo anaweza hata akavaa nusu ili waone amevaa nini ndani?

Duh. Pole sana.

Mko wengi wapi,uko mmoja na simu yako ya mchina unaota barabarani ukiwa unatembea Prof.Lipumba keshapewa rungu kwao awaongoze ukawa nyie mwaka huu Mnapasuka, jana mbatia kasema mmejaa ubinfsi kwishaa nyie CCM this time itawakanyaga sana!
 
Pole kijana picha hakuna naona CCM wanakuchanganya,ukiwa mmoja wa wasemaji wa CDM mwaka huu mna kibarua kikubwa sana kuelekea Ikulu kuliko wakati mwingine wowote mliodhani katika maisha yenu! Ruzuku mnazopewa na Serikali ya
CCM mnatafuna sana na hesabu zake hazieleweki mpaka CAG kawapa hati ya mashaka, hivi hili mbona hamuwaambii wanachama wenu kuwa na nyie ni wafujaji wa pesa za umma?
Kwi kwi hukutegemea kungekuwa na convoy nyumbani kwa waziri mkuu Huyo ndio Dr.Slaa Raisi wa mioyoni mwa watu mulidhani mukitumia sanaa ya kujitangaza usiku na mchana wananchi wangewajali wamewaona misukule na kuwashit kwa kwenda mbele wao na mageuzi period
 
Wewe sio ukapime tu umetumika vya kutosha jibu hoja ukisaidiana na Makene, Mseme fedha za Ruzuku mnazopewa na Serikaliya CCM mbona mmetumia vibaya hamna tofauti na wenzenu mpaka CAG kawapa kadi nyekundu ya hati yenye mashaka??nyie si wasafi na watetezi wa raia kumbe mafisadi wa Ruzuku za Serikali ya CCM???kuna upinzani hapa au ni maigizo mnatufanyia nyie?

Unajua sina muda wa kuargue na watoto wa mafisadi..Wavutaji wa hii:majani7::majani7::majani7:na drugs:lalala::lalala::lalala::lalala:
 
Kwi kwi hukutegemea kungekuwa na convoy nyumbani kwa waziri mkuu Huyo ndio Dr.Slaa Raisi wa mioyoni mwa watu mulidhani mukitumia sanaa ya kujitangaza usiku na mchana wananchi wangewajali wamewaona misukule na kuwashit kwa kwenda mbele wao na mageuzi period

Convoy ushabiki na buku mlizowapa Subirini Oktoba ndo mtajua nini maana ya CCM ambayo mwenyekiti wake ni Amiri Jeshi Mkuu!nyie msileweshwe kwa viroba na Ruzuku mnazopewa na Serikali ya CCM.
 
Unajua sina muda wa kuargue na watoto wa mafisadi..Wavutaji wa hii:majani7::majani7::majani7:na drugs:lalala::lalala::lalala::lalala:

Kwishaaa nguvu ya moto wa mabua imeishia hapa nenda kalale basi!Ila Rudisheni Ruzuku mnazopewa na Serikali ya CCM,
 
Back
Top Bottom