Mapokezi makubwa yamsubiri Dk. Slaa Katavi, Polisi waanza

Nyie wasaliti tunawajua kajrngrni chama chenu

Msaliti ni wewe ukiambiwa ukweli unatukana, waambieni viongoZi wenu wajenge Ofisi ya Makao makuu ya chama wasikarie kurukaruka tu miaka 23 wamepanga na Ruzuku ya Serikali ya CCM wanachukua!!
 
Mawazo mufilisi hayo, kuwa na jengo kubwa makao makuu nsi hoja wala kipaumbele.

Kazi kubwa ya chama cha siasa ni majukwaani, na mwaka huu mtaisoma
 
Umetumika sana jitambue, Chama cha pili kwa kupewa Ruzuku na Serikali ya CCM kinakosa Ofisi yake, miaka 23 mmepanga mnazidiwa na CUF teh te teh wewe unakimbilia siasa za majukwaani kwanza mna mgogoro na CAG au hulijui hilo?
 
Thibitisha kuwa CHADEMA ofisi sio jengo lao , maana porojo zimezidi sana ........Jengo la ofisi za CDM ni mali ya CHADEMA .Prove otherwise
 
Padri slaa mzinifu na msaliti wa dini arudishe kwanza mke wa watu atubu kwa Mungu ndo aje agombee urais la sivyo Mungu ataendelea kumshushia adhabu urais atausikia bombani

wewe acha tabia ya kujiuza kwa lowasa na wakati huo haujui baako nani hadi unakufa
 
Thibitisha kuwa CHADEMA ofisi sio jengo lao , maana porojo zimezidi sana ........Jengo la ofisi za CDM ni mali ya CHADEMA .Prove otherwise

Acha kulipuka dogo mmepanga nyie kwani uongo na hata mipango ya kujenga hamna kaofisi kamebana kama banda ,Ruzuku ya SERikali ya CCM inawaangamiza eti watetezi wa haki za wanyonge wakati kwa CAG MNA HATI YA MASHAKA YA MATUMIZI MABAYA!
 
Umelewa viroba wewe akili yako na Sugu zinafanana.

Mwakaboko kinyumbani kwetu maana yake ni mwanamke aliyewekwa kinyumba na lijari kazi yake ni kupika kuosha vyomba na kumstarehesha mumewe sasa sijajua kama hiyo id yako ndio inavyomaanisha au?
 
Kama hujui sasa unauliza nini?daaa nilisema Viroba ni noma mtu anawaza mapenzi saa za kazi ni sheedah!na mwaka huu mtakoma na huyo babu yenu.
 
Mkuu Makene mbona picha za Sumbwanga nyumbani wengine tulio mbali hatujapata plzzz kama zipo tupia hapa
 
Last edited by a moderator:
As ante kamanda Tumaini kwa kutuhabarisha kila siku kazi anayoifanya rais anayetarajiwa kuapishwa baada ya oktoba 2015
 
Back
Top Bottom