Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
ukweli siku zote unauma, umeguswa pabaya nini? au unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe? acha kuweweseka
Also rubbish
ukweli siku zote unauma, umeguswa pabaya nini? au unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe? acha kuweweseka
Sio hivyo tu bali ZeMarcopolo kaacha kazi yake halali ya ukunga/ungariba pale Mvomero Morogoro nakujada Dar kukesha viunga vya Lumumba akipiga porojoma huku jioni akigombania treni kwenda Mawenzi TabataHAMY-D, pamoja na kutokukubaliana na wewe kwa mambo mengi tu, nakupa big up kwa kuchangia uendeshaji wa hili jamvi letu tunalolipenda lakini je, huyu ndugu yako ZeMarcopolo, aliyehamishia humu hadi kitanda, huwezi kumshawishi naye akachangia japo kiduchu?
Afadhali aliyeenda na mkewe kuliko aliyebeba mamako kama hawara na kwenda kubadilisha damu yenye VVU kwa kodi yako! Kwanza kabeba mamako pili kamuambukiza VVU tatu katumia kodi yako kubadili damu yake mwenyewe!!
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!
Le Mutuz
Mara nyingi kwenye shughuli za kijingajinga kama hizi huwezi kukuta watu wanaojiheshimu.
Halafu msongamano wenu utamnyma uhuru Josephine Mushumbusi. Amefanya shopping ya nguvu Marekani, sasa mkijazana pale ataona noma na mizigo kibao wakati anawalaghai kuwa alienda study tour...
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.
Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.
Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.
kuhusu ZeMarcopolo, nadhani kuna utaratibu wa members kuchagua kama watahitaji kuonekana na hizo icon ama lah. Ni imani yangu ZeMarcopolo ni miongoni mwa members wa aina hii ambao hawakupenda kuonekana na hizo icon ila wamechangia uendeshaji wa jukwaa letu.
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!
Le Mutuz
- I mean ni simple common sense tu, unafikiri wale wazungu hawajui kwamba Dr. Slaa anasafiri na mke wa mtu? Ubalozi wao hapa unafanya nini? Lipo faili lake kule State Department ambalo lina habari zake zote ambazo kabla hajaenda ni lazima Viongozi wa juu kule wafahamishwe mapema kuhusu kiongozi anayekuja, uzuri na mapungufu yake, kama wanaweza ku-make deal naye au hapana.
- So alipokuwa huko Wazungu walikuwa wanamuangalia tu lakini wanajua kila kitu mkuu sana, sasa swali ni kama anaweza kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria kwanza, je anaweza kuwa Rais anyefaa kuliko wa sasa? Nafikiri jibu lipo wazi sana!! ha! ha! ha!
LE Mutuz
umeongeA KAMA UNAAKILI!Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.
Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.
Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.
imani za kishirikina zinakusumbua wewe aliyekuambia paka wanatibu nani?msukule wewe hata manyaunyau akichinja paka 20 hauponi tena.babu amekumaliza kila kitu
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.