Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...

Matege ya fikra ni hatari ndugu!
Huo wito ni kwa wpinzani peke yao??
Mbona hujautoa wakati wa ziara ya OBAMA?
 
Le Mutuz umeangamiza waasi utetezi wao utabaki matusi tu

- I mean ni simple common sense tu, unafikiri wale wazungu hawajui kwamba Dr. Slaa anasafiri na mke wa mtu? Ubalozi wao hapa unafanya nini? Lipo faili lake kule State Department ambalo lina habari zake zote ambazo kabla hajaenda ni lazima Viongozi wa juu kule wafahamishwe mapema kuhusu kiongozi anayekuja, uzuri na mapungufu yake, kama wanaweza ku-make deal naye au hapana.

- So alipokuwa huko Wazungu walikuwa wanamuangalia tu lakini wanajua kila kitu mkuu sana, sasa swali ni kama anaweza kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria kwanza, je anaweza kuwa Rais anyefaa kuliko wa sasa? Nafikiri jibu lipo wazi sana!! ha! ha! ha!

LE Mutuz
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz

Na bado. CCM hadi mnyonyoke vinyweleo mwaka huu
 
Jenga hoja ujibiwe kwa hoja. Ukijenga vioja utajibiwa vioja. Tuendelee kuheshimiana

- Hujaiona hoja yangu kwamba Kiongozi ambaye haoni tatizo kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria, hawezi kuwa kiongozi mzuri wa Taifa? Unaonaje hiyo?

Le Mutuz
 
Halafu msongamano wenu utamnyma uhuru Josephine Mushumbusi. Amefanya shopping ya nguvu Marekani, sasa mkijazana pale ataona noma na mizigo kibao wakati anawalaghai kuwa alienda study tour...

Kwani yeye hana hela yake ya matumizi?
Na mtu akienda study tour maanake akipata cha kununua asubiri safari nyingine?
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
we unashinda lumumba una tofauti gani na hao vijana!?? nonesense!
 
Babu amezoea kupanda mbegu kwenye mashamba ya watu hata aibu hana.
 
- Hujaiona hoja yangu kwamba Kiongozi ambaye haoni tatizo kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria, hawezi kuwa kiongozi mzuri wa Taifa? Unaonaje hiyo?

Le Mutuz

Hahahaha.. huu wimbo ndio tunaoita Vioja. Unataka ujibiwe kwa hoja ipi hapa?
 
watanzania bna bado wengi wetu akili zetu fupi kama maisha ya funza yani mtu anaenda zake marekani kutalii na mkewe nyie mnaangaika eti kwenda kumpokea
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...

Ndivyo mnavyo demoralize watu, acheni ubinafsi nyie wana Lumumba
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Akili hizi mnazo magamba wenyewe kwa kusubiria kuwahonga wajumbe wa nyumba kumi vi-elfu kumi na vikanga kipindi cha uchaguzi,kwa taarifa yako tuna imani na serikali ya chadema itakayosimamia kodi zetu vizuri na kupambana na panya sio kusubiri na kusema hadharani nimeambiwa,nimesikia,nimefahamishwa!!Aibu gani hii mnatuletea nyie magamba?
 
Back
Top Bottom