KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 733
Mrejesho wa Arusha ni kukupiga vitu vyenye ncha tamu vinne swaaaafii....hahahaaaUngeanza na mrejesho wa Arusha
Cc: concord nh
Last edited by a moderator:
Mrejesho wa Arusha ni kukupiga vitu vyenye ncha tamu vinne swaaaafii....hahahaaaUngeanza na mrejesho wa Arusha
Heshima kwa wote! Wandugu kwa kuwa mpaka sasa dr. Slaa ametuwakilisha vyema huko marekani, (nadhani) hadi wao wanashangaa kwanini hakuchaguliwa badala yake akapewa dhaifu, legelege asiye na hoja jk. Kwa kutambua hilo na dhima nzima ya ziara hiyo 'vission Tanzania' nashauri wote tunaoitakia mema nchi yetu tumiminike uwanjani kumpokea kwa mabango na jumbe za kumtia moyo. NB: hatuhitaji kibali wala ruhusa ya polisi coz sio maandamano bali mapokezi...Mwanasoka mbuyu twite alipokewa na maelfu ya watu uwanjani na hawakuomba ruhusa popote coz hakuna sheria iliyovunjwa, so police stay out of this
Hivi wewe humu jamvini unamokesha na kushinda kutwa nzima uko kazini? Au bangi tu!!Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Ni vizuri kumtukana nani?Si vizuri kumtukana rais wako.
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.
Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.
Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.
Mkuu unajua sijakitumia siku nyingi sana hivyo nadhani sasa ni wakati muafaka
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.
Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
Miongoni mwa watu wasiotumia ubongo wao kufikiri... ni kurukia kila kitu kishabiki.. JK anaishia 2015 kikatiba mtahamia chama gani? Ajenda iliyowapeleka CCM itakuwa imekufa.Msukule wewe hata manyaunyau akichinja paka 20 hauponi tena.Babu amekumaliza kila kitu
Hivi wewe tangu upate hii ajira ya kwenye mitandao umekwishatajirika kweli? Au ndo kwanza umegeuka kuwa mwendawazimu?!!Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.
Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Slaa nae anakuja na staili zile zile za Kikwete, kila akisafiri kidogo akirudi lazima msafara wa viongozi kwenda kumpokea, utadhani alikwenda UN kudai uhuru wa nchi.
Mapokezi makubwa kwa wazinifu mashuhuri.
Hizo zana umezipata wapi na wewe ni ex cop?Ngoja niandae buti zangu na kirungu...
![]()