Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Le Mutuz ni matokeo ya uzinifu na si ajabu mother aliamua kubambikiza mtoto wa mzee, maana kwa kawaida watoto wa nje ya ndoa ufanana sana na baba zao sasa Le mutuz niambie amefanana kweli na kale kakongwe? Tena kibaya zaidi zamani alikuwa anaanika issue za huyu mzee "

CCM kwa unafiki! Hapa ni baada ya mzee kuchinjiwa baharini akabaki anakenua meno tu kinafiki nafiki...
 
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.

Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.

Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.

Kwa hiyo shule zinapofungwa ,kwa ajili ya watoto kwenda kumlaki raisi wako ,huwa muda wa masomo haupotei?
 
Hii thread kichwa cha habari ilitakiwa isomeke hivi:MAPOKEZI MAKUBWA KWA WAZINIFU MASHUHURI.
Hapo kwenye red hawa ndugu kwa safari hii ya USA lazima wataongeza mtoto wa haramu mwingine.
 
CCM kwa unafiki! Hapa ni baada ya mzee kuchinjiwa baharini akabaki anakenua meno tu kinafiki nafiki...

Hapo kalikuwa bado kana shavu kwa sasa kamenyauka kweli chezea hela ya bure wewe. Na mama anakapeleka mchakamchaka ka kikongwe ka watu.
 
Hamy d,kweli wewe mtu wa ajabu sana ambaye nahisi hujitambui pamoja na mzinzi mwenzako shonza,wewe wkt mbunge wa wa rombo kupitia cdm alipoenda kumpokea jk ulimsifu kwa kuacha kz zake na kwenda kumpokea j.k,leo hii unatuambia tusiende kumpokea dr kama siyo unafiki ni nini? Naye shonza nakumbuka kipindi kile mbowe kapelekwa kwa ndege toka dar mpk arusha nakumbuka tulikuwa udsm na shonza,shonza aliandamana peke yake na bango mjini kushinikiza mbowe atoke na kama sikosei alikamatwa,inakuwa ajabu kusikia eti leo mbowe siyo kiongozi bora kwake.
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.
We RITZ bin Mbululu kwani baba yako anapokula fedha zetu amezifanyia nini? acha uchawi wa kuwafanyia fitina watanzania waache wampokee raisi wao.
 
Hapo kwenye red hawa ndugu kwa safari hii ya USA lazima wataongeza mtoto wa haramu mwingine.
Amemwaga mbegu za haramu kwenye shamba la mwanzo amemkimbia, akamwaga tena kwa huyu mcharuko.Kesi bado iko mahakamani mume halisi wa mcharuko anakula 3M.Kila mwezi Dr.Slaa akipitisha kidogo tu jamaa anatishia kufufua kesi.
 
Kuna wenzenu walisukuma gari la Mrema, leo hii wako wapi??

Mtu kaiba mke wa mtu, unaenda kumpokea vp, na kwa kipi?

Kweli tuna safari ndefu?? Hivi kweli watu mko 'busy' au ndio mnakula kwa dada??
 
Acha kukashifu mama wa wenzako...tutaenda sawa. Mseme Josephine kwenye issues za maana sio issues personal.
Wewe ni msemaji wa Josephine? mara ngapi Josephine anajibu hoja hapa JF? au CDM nao wameanza kutoa buku 7, kwa washabiki kujibu hoja?
 
Kuna wenzenu walisukuma gari la Mrema, leo hii wako wapi??

Mtu kaiba mke wa mtu, unaenda kumpokea vp, na kwa kipi?

Kweli tuna safari ndefu?? Hivi kweli watu mko 'busy' au ndio mnakula kwa dada??
1. Uhusiano wao haramu
2. Safari yao ilikuwa haramu
3. Mapokezi yatakuwa haramu
4. Mimba iliyopatikana huko USA haramu
5. Mtoto atakayezaliwa haramu

Wewe ni msemaji wa Josephine? mara ngapi Josephine anajibu hoja hapa JF? au CDM nao wameanza kutoa buku 7, kwa washabiki kujibu hoja?
Tatizo sio usemaji au kutokusema. Suala hapa ni nidhamu. Yakupasa umheshimu Josephine kama mama katika viwango vile vile ambavyo mama yako ungependa uheshimiwe. Sio unakuja hapa jamvini na mibangi yako kama umetoka kufumaniwa unaanza kutukana wamama wa watu...shwaini we!
 
Last edited by a moderator:
Kuna wenzenu walisukuma gari la Mrema, leo hii wako wapi??

Mtu kaiba mke wa mtu
, unaenda kumpokea vp, na kwa kipi?

Kweli tuna safari ndefu?? Hivi kweli watu mko 'busy' au ndio mnakula kwa dada??
Ninakwambia hivi, kama kuiba mke wa mtu ni rahisi hivyo, niruhusu nije kumuiba mama yako
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.

HAya tumekusikia tumekuelewa...Unalingine gamba wewe..
 
Wanapoteza muda wako au wao? Huo muda wao wanaopoteza unakuuma nini au ndio yale yale ya Pilipili ale yule wewe uwashwe?
 
Back
Top Bottom