Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Kilago alikuwa mke wa nani? Tena kale kazee kasivyo na aibu kakaridhi hadi watoto wa Kilango. Kasivyo na haya kazee ka miaka 98 kanakwenda kupora mke mwenye umri sawa na watoto wake wa kiume..Siye wenye macho akili mkichwa.

Yeye mwenyewe William kazaliwa nje ya ndoa hana haki pale au mlikuwa hamjui ?
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz

Ila baba yako aliyemwachia machungu yule mzee wa kipare kule Moshi mpaka leo kwa
kumchukulia mke wake Anna Kilango alikuwa sahihi?? kwa sheria gani iliyomruhusu kufunga ndoa na mke
wa mtu,kama si njaa ya wale wazee maaskofu na wachungaji wa Anglikana'
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...

Mjukuu wangu ZeMarcopolo karibu sana kwa watu makini maana kuna kitu unataka kufanya katika maisha yako lkn ni kama unaogopa. Nenda kule ambako ukiamuka hata kabla ya kunawa uso unaaanza kupawaza! Unakaribishwa tu cha msingi fuata masharti na jaribu kuwa makini na mkweli then doors are open for you!! Ni hayo mjukuu wangu!
 
- Hujaiona hoja yangu kwamba Kiongozi ambaye haoni tatizo kuishi na mke wa mtu bila kumaliza taratibu za kisheria, hawezi kuwa kiongozi mzuri wa Taifa? Unaonaje hiyo?

Le Mutuz

Mbona hatukutangaziwa ili tujue wewe ulifanywa lini kuwa halali kisheria kuwa ni ndugu na akina Sechelela????
kwa baba?hapo uongozi mzuri wa mzee ulikuwa wapi?
 
Lini nimemtukana mama yako?

Suala si kumtukana mama yake. Elewa Josephine ni mzazi pia, watoto wake wanahitaji kuona mama yao akiheshimika kama unavyotaka wewe mama yako aheshimike. Unaelewa wazi kabisa kuwa Josephine ni mke wa Slaa, kwamba ana shida kwenye ndoa yake ya awali hilo ni jambo linguine. Sasa uwe na nidhamu kwa Josephine ili na wengine wawe na nidhamu kwa mama yako. Kama neon honeymoon ni tusi kwa nini umelitumia kwa Josephine na Slaa ilhali ukijua hawakwenda kwenye honeymoon na wala hilo jambo halipo?
 
Last edited by a moderator:
Ila baba yako aliyemwachia machungu yule mzee wa kipare kule Moshi mpaka leo kwa
kumchukulia mke wake Anna Kilango alikuwa sahihi?? kwa sheria gani iliyomruhusu kufunga ndoa na mke
wa mtu,kama si njaa ya wale wazee maaskofu na wachungaji wa Anglikana'

Kibaya zaidi Mzee alikwapua hata watoto wa huyu Mzee.
 
Suala si kumtukana mama yake. Elewa Josephine ni mzazi pia, watoto wake wanahitaji kuona mama yao akiheshimika kama unavyotaka wewe mama yako aheshimike. Unaelewa wazi kabisa kuwa Josephine ni mke wa Slaa, kwamba ana shida kwenye ndoa yake ya awali hilo ni jambo linguine. Sasa uwe na nidhamu kwa Josephine ili na wengine wawe na nidhamu kwa mama yako. Kama neon honeymoon ni tusi kwa nini umelitumia kwa Josephine na Slaa ilhali ukijua hawakwenda kwenye honeymoon na wala hilo jambo halipo?

Josephine ni mke wa babu Slaa tangu lini?, wewe ndio ulifungisha ndoa?, acha kuhalalisha uzinifu kaka.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hatukutangaziwa ili tujue wewe ulifanywa lini kuwa halali kisheria kuwa ni ndugu na akina Sechelela????
kwa baba?hapo uongozi mzuri wa mzee ulikuwa wapi?

Le Mutuz ni matokeo ya uzinifu na si ajabu mother aliamua kubambikiza mtoto wa mzee, maana kwa kawaida watoto wa nje ya ndoa ufanana sana na baba zao sasa Le mutuz niambie amefanana kweli na kale kakongwe? Tena kibaya zaidi zamani alikuwa anaanika issue za huyu mzee "
 
Suala si kumtukana mama yake. Elewa Josephine ni mzazi pia, watoto wake wanahitaji kuona mama yao akiheshimika kama unavyotaka wewe mama yako aheshimike. Unaelewa wazi kabisa kuwa Josephine ni mke wa Slaa, kwamba ana shida kwenye ndoa yake ya awali hilo ni jambo linguine. Sasa uwe na nidhamu kwa Josephine ili na wengine wawe na nidhamu kwa mama yako. Kama neon honeymoon ni tusi kwa nini umelitumia kwa Josephine na Slaa ilhali ukijua hawakwenda kwenye honeymoon na wala hilo jambo halipo?
Umewahi kusoma post za Josephine hapa JF? Josephine ana provoke watu, mimi nikiwa mmoja wao. Hata siku moja sijamtukana Rose Kamili, japo napinga uteuzi wake wa Ubunge viti maalum. Kila ukweli tutakaosema kuhusu Josephine ni tusi kwa mashabiki wa CDM. Kitendo cha Josephine kuvunja nyumba mbili, tukizungumza pia ni tusi. Kama Josephine ndio kigezo cha kumtukana mama yangu, I don't care, just do it
 
Habari za Rose Kamili zifungulie thread yake tutajadili, kwa sasa tunamjadili Josephine. Kwamba kavunja ndoa mbili au kumi wewe zinakuhusu nini? Ulitaka wewe ndio uvunje ndoa ya Slaa? Basi mwagize na mama yako akaivunje na hii ya Josephine kama unadhani kuvunja ndoa ni kitu rahisi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom