Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

asante kamanda tuko pamoja sana , umenifurahisha sana uliponikumbusha mapokezi ya mbuyi twite , ninao ushahidi kwamba hayakuwa na kibali .
 
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.

Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.

Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.

Unarudia aloandika Zemarcopolo, hata hivo huwa humshangilii dhaifu wako?
 
Mara nyingi kwenye shughuli za kijingajinga kama hizi huwezi kukuta watu wanaojiheshimu.

Halafu msongamano wenu utamnyma uhuru Josephine Mushumbusi. Amefanya shopping ya nguvu Marekani, sasa mkijazana pale ataona noma na mizigo kibao wakati anawalaghai kuwa alienda study tour...

Acha wivu na uzandiki. Tumia akili yako zaidi ya miguu yako kwenye kutoa au kujibu hoja.
 
We RITZ bin Mbululu kwani baba yako anapokula fedha zetu amezifanyia nini? acha uchawi wa kuwafanyia fitina watanzania waache wampokee raisi wao.

Huyu bwana huwa anajisahau sana. Ni mzandiki, mwongo na mzushi bila kusahau udini.
 
Fanyeni kazi mjiingize kipato chenu halali.

Msipoteze muda wenu kwa ajili ya mtu anayeandaa maisha yake binafsi ya kustaafu...
Binafsi kwa masuala ya kimataifa nilikuwa simwani kabisa Dr.W.Slaa ila niliposoma ile hotuba aliyoitoa huko Marekani,daah yule kamanda yupo vizuri sana upstairs,
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio usemaji au kutokusema. Suala hapa ni nidhamu. Yakupasa umheshimu Josephine kama mama katika viwango vile vile ambavyo mama yako ungependa uheshimiwe. Sio unakuja hapa jamvini na mibangi yako kama umetoka kufumaniwa unaanza kutukana wamama wa watu...shwaini we!

Safi sana kamanda!
Kwa mwenye akili ujumbe umefika na kama anazo za kuazima mpe pole yake.
Jitu linakosa hoja lianaanza kuleta upuuzi.na ni vema umegundua mapema kuwa dawa ya mpuuzi ni kumpumulia kwa upuuzi ule ule.Jamaa umelikaba likaanza kulialia kama toto dogo.
Kama anaona Josephine anafaidi hiyo honeymoon ni vema bwana/bibi fitinamwiko apeleke mama yake full stop hakuna kulemba.
Mabwege makubwa hayo yanalipwa ujira kwa kazi za kipumbavu na hayatumii akili kufikiri katika hayo.miccm iliyokufa na hata haijitambui.
 
Last edited by a moderator:
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.

Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.

Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.

Ndo akili yako inavokwambia??..
Umeona hasara za kuelewa mitaroni, watu wote unawaona wako sawa tu.
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.

Safi kabisa...hii ndo ccm bana! Ndo maana Mi na mdingi legelege tumeshauza nchi. Na sahizi tuna kakampuni ketu ka futa na mitungi ya gesi kanaitwa Ziwa oil. Nyie chadema hadi mchukue nchi daaah...tushamaliza kila kitu.
 
Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.

Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.

Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.
Mheshimu anayestahili kuheshimiwa, na hutakuwa umepoteza muda wako!
 
Tatizo sio usemaji au kutokusema. Suala hapa ni nidhamu. Yakupasa umheshimu Josephine kama mama katika viwango vile vile ambavyo mama yako ungependa uheshimiwe. Sio unakuja hapa jamvini na mibangi yako kama umetoka kufumaniwa unaanza kutukana wamama wa watu...shwaini we!
Kweli imefikia kiasi hiki kuitana shwaini kwa mambo ya vyama? I am giving up and have nice week end
 
Tukumbuke pia kwamba USALAMA wa Dr.Slaa ni swala kubwa sana KITAIFA. Uwezo wake unapozidi kuonekana kama hivi sasa ndivyo hivyo hivyo mafisadi wanazidi kumwogopa. Wana uwezo wa kufanya vibaya, na wameshaonyesha hivyo.

Bomu (hand grenade toka China) iliyorushwa na Ispekta wa Polisi kwenye mkutano wa Chadema lilikuwa na lengo la kuwauwa viongozi wakuu wa CHADEMA.

CHADEMA tunaomba muwe na mkakati mzuri wa kuwalinda viongozi wetu wakuu Slaa, Mbowe, Lisu, Lema, Mnyika na wengineo.

Huwa nakumbuka kwa masikitiko mwaka 1983 wakati Benigno Aquino (aliyekuwa kiongozi wa upinzani Philippines) alivyorudi Marekani na kuuawa kwenye uwanja wa ndege wa Manila alipoanza kushuka kwenye ndege. It is said that those who do not learn from History are bound to repeate it.
 
Maccm yanajua ukweli hata ITV kipindi cha mzalendo alhamis saa 1 jioni mlopokaji Nape akiwa na materialistic Myika alikubali kua miaka 50 bado kuna mambo mengi hajatekelezeka.... mbunge 1 wa upinzani ni sawa na wa bunge 20 wa maccm anaepinga ukweli huu ajitambui is a moving dead...
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.

Tunapotaka kubadli chama si kubadilisha sura za wanaotutawala tu, bali kubadili na namna tunavyotawaliwa.
Hata wasipo gawa pesa ila nitajisikia furaha sana kuwa nchini ya uongozi wa CHADEMA.
kwani chini ya UONGOZI wa fastjet.

1.Tanzania ni nchi ya 39 AFRIKA kwa watu wasio na Furaha source World Happiness Report.
2.Tanzania ni nchi mbaya sana kwa wazee kuishi Duniani souerce UN Globle AgeWatch 2013.
 
Vijana nawapa ushauri wa bure msidhani Chadema wapo kwa ajili ya kuwakwamua kimaisha siyo kweli.

Serikali ya mtu ni kichwa chake mwenyewe siri ya mafanikio ni kufanya kazi.

Usitegeme kushinda vijiweni na kujipa matumaini kuwa Chadema wakichukuwa nchi watagawa pesa.

Vijana acheni ushabiki wa kipuuzi, jifanyieni shughuli za kuzalisha mali ili mjipatie kipato.

Huyo babu Slaa ni mtu wa kupita tu, muda wenu una thamani sana kama mkiutumia vizuri.

Hakuna binadamu aliyezaliwa kumshangilia mwenzake, we all suppose to be winners.

Ona mambulula wa Lumumba wanavyofanya umbea wao. ID tofauti mchango ule ele C.R.A.P
 
Wana JF naombeni kuuliza kwann viongozi wetu wa siasa ziara wao wanakimbilia Marekani tu? Kwanini wasiende Korea, India, au Brazil wakajifunze na mbinu za kuwapa waandamanaji wakaandamana bila kusambalatishwa na polisi? Tumechoka kila siku Marekani tu tunataka kusikia na Afghanistan.

Body without head
 
Back
Top Bottom