Huu ni mchanganyiko wa value na nini sijui🤔Demons promaxView attachment 3582342
Noma sana 😀Dompo labda😂
Kwamba kubeti inaweza kukufanya upige nyero,au uingie kwenye unywaji wa pombeKu bet
Visungura
Energy
Neto ndugu moja
KashesheUtaambiwa tafuta hela😁😁😁
Sahihi 😃Hili ni Phepo kweli 🙌😄
Mitume na manabii walifunga ndoa wapi, au ni wapi Mungu aliagiza tuandikishiane mkataba wa ndoa ambao tukiachana mali zinapigwa pasu kwa pasu.Ndoa ni agano takatifu.. Kuikataa ni pepo
Thibitisha uwepo wa mapepo na MunguPepo la kupinga uwepo Wa Mungu
Mungu ni nguvu ya asili,Sio Kiumbe hai!Thibitisha uwepo wa mapepo na Mungu
Thibitisha uwepo wa Mungu kuwa ni nguvu ya asiliMungu ni nguvu ya asili,Sio Kiumbe hai!
Mapepo,majini na uchawi havipo na havijawahi kuwepo!
Hao wala hawana tatizo ila kuna mataahira wachache ndio wanowasakama!Pepo la single moms na wasimbe
Maisha wayachazee wenyewe watukasirikie sisi
Inaonekana umeoa single momHao wala hawana tatizo ila kuna mataahira wachache ndio wanowasakama!
Hili ☝️ si pepo bali kibali cha kuzama peponi baada ya kufa.Pepo la kujichua