Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

This kapo is over ataniua na stress huyu mtu[emoji1787]
Kheeeh huyo kivurugee humuwezii, anae mume na sie ndugu tunamjua, wa kuitwa Extrovert, wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi

Nipeni mbinu ya kumsahau mtu akilini mwangu naona kuwa nae imeshindikana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jamani mimi wa kike so mkomenti ushaurii wa kike[emoji24][emoji24][emoji24]
Na hivi ndivyo inavyokua....baada ya kulitambua hili niliamua kuvipenda vile nisivyovipenda.......

Jifunze kuwapenda wanaokupenda yes, inawezekana

Pokea upendo.
Pokea upendo.
Pokea upendo .
 
Kheeeh huyo kivurugee humuwezii, anae mume na sie ndugu tunamjua, wa kuitwa Extrovert, wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 BICHWA KOMWE - naomba uje hapa ujibu hizi shutuma aisee ulivyokua unasema am ur "one and only" ulikua unamaanishs nini?
 
Eee upewe tuzo mkuu🤣🤣, sema we nae inaonekana mambo mengi, em tafuta kijana wa kawaida anza nae maisha hao masponsor wapo after sex wakishapata wanasepa watakuumiza sana.
Exactly, wanaume waliojipata 85% huwa wapo kwaajili ya starehe tu
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi

Nipeni mbinu ya kumsahau mtu akilini mwangu naona kuwa nae imeshindikana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jamani mimi wa kike so mkomenti ushaurii wa kike[emoji24][emoji24][emoji24]

Kwanza ww ni jinsia gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Acha tamaa, upendwe na watu wa type yako vinono waachie wenzio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom