- Thread starter
- #21
Njoo tusome vitabu, achana na mapenzi.
Vitabu vinaleta furaha sana.
Kwa hali hii hata maandishi sitoyaona
Njoo tusome vitabu, achana na mapenzi.
Vitabu vinaleta furaha sana.
Pole sana
[emoji1787][emoji1787] kashaleta uzi mpya tena, yani huyu mapenzi mpaka yamuue.
Eee upewe tuzo mkuu🤣🤣, sema we nae inaonekana mambo mengi, em tafuta kijana wa kawaida anza nae maisha hao masponsor wapo after sex wakishapata wanasepa watakuumiza sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee nimecheka, Asante mkuu angalau nimetabasamu
So huu mwaka nipokee tuzo ya muumuzwaji bora wa mapenzi Jf
Ntakupa miwaniKwa hali hii hata maandishi sitoyaona
Basi tupendane me na wewe achana na huyo fala asiyejua thamani yako. [emoji2][emoji2][emoji2]
Achana na mapenzi fanya vitu vingine.Niokoeni member mwenzenu
karne hii bado tu kuna watu wanalia kwa ajili ya mapenzi? [emoji3525]
Achana na mapenzi fanya vitu vingine.
Eee upewe tuzo mkuu[emoji1787][emoji1787], sema we nae inaonekana mambo mengi, em tafuta kijana wa kawaida anza nae maisha hao masponsor wapo after sex wakishapata wanasepa watakuumiza sana.
Unakumbuka ule uzi wako ulikuwa unatusema wanaume,
Mara ooh, 'nilipomuacha ex wangu alilia akakesha bar'
Nikakuambia dawa yako inachemka....
Ukome.
Nawee umeachwaaa wizooo? Mbona ghaflaa sanaa?Njoo tusome vitabu, achana na mapenzi.
Vitabu vinaleta furaha sana.
Pole sana mkuu
Unapenda mpaka unapitiliza tatizo, hata kama unampenda mtu vipi usimuoneshe wazi sana atakua anatumia madhaifu yako kama silaha ya kukuadhibu akijua huna ujanja kwake.Sina sponsor mkuu ni vijana wa kawaidaa tu hata baiskel hawamiliki ila wanatesa moyo
Mie siachikagii niko kama kupe.Nawee umeachwaaa wizooo? Mbona ghaflaa sanaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YohimbeUnapenda mpaka unapitiliza tatizo, hata kama unampenda mtu vipi usimuoneshe wazi sana atakua anatumia madhaifu yako kama silaha ya kukuadhibu akijua huna ujanja kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizoo em huko, nimechekaa km chizii.Mie siachikagii niko kama kupe.
Ukiniacha nakung'oa boro lako naondoka nalo nikalitafune na chai.