Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

H
Usiombe yakukute
Hayajawahi nikuta ujanani, hayawezi nikuta uzeeni, sinaga ujinga kama huo mpendwa.. nilijiwekea msimamo kitu mapenzi hakiwezi sumbua maisha yangu, akizingua kidawa naruka na mwajuma, nilizaliwa pekee yangu, hakuna mtu niliambiwa huyu ndio maisha yako, bila ya yeye we husogei hata hatua moja.

Huko ni kujiendekeza niamini mimi, ukifanya maamuzi mazuri huyo kenge katu hatokusumbua.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi

Nipeni mbinu ya kumsahau mtu akilini mwangu naona kuwa nae imeshindikana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jamani mimi wa kike so mkomenti ushaurii wa kike[emoji24][emoji24][emoji24]
Ukute utelezi unatoa kwa shida,,,hata ukitoa unapima bando,,,ila we ni mtu kusumbua na meseji na kudai ithibitishwe
 
Uniki flower Ngoja nikuweke ignore. Sitakagi ujinga
 
Maumivu ya kuachwa ni mabaya sana, hakikisha unalia hasa, usijibane lia kwa nguvu mpk majirani wasikie. Kila siku weka ratiba ya kulia, utapona mapema kwa hii mbinu.
 
H

Hayajawahi nikuta ujanani, hayawezi nikuta uzeeni, sinaga ujinga kama huo mpendwa.. nilijiwekea msimamo kitu mapenzi hakiwezi sumbua maisha yangu, akizingua kidawa naruka na mwajuma, nilizaliwa pekee yangu, hakuna mtu niliambiwa huyu ndio maisha yako, bila ya yeye we husogei hata hatua moja.

Huko ni kujiendekeza niamini mimi, ukifanya maamuzi mazuri huyo kenge katu hatokusumbua.

Maamuzi gani sasa
 
Maumivu ya kuachwa ni mabaya sana, hakikisha unalia hasa, usijibane lia kwa nguvu mpk majirani wasikie. Kila siku weka ratiba ya kulia, utapona mapema kwa hii mbinu.

Miacho mfululizo mkuu unalia mara dufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom