Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

Unapenda mpaka unapitiliza tatizo, hata kama unampenda mtu vipi usimuoneshe wazi sana atakua anatumia madhaifu yako kama silaha ya kukuadhibu akijua huna ujanja kwake.

Natamani kutokuwaonyesha ila sijui namna ya kufanya mtu asijue nina mpenda labda unifundishe mbinu
 
Mapenzi yakiuma, nawe yaume si una meno au we kibogoyo? 🤣

Unalilia mtoto wa mtu, mtu hujazaliwa nae, sio oxygen yako, mengine mnajiendekeza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom