Mapenzi yanauma sana

Mapenzi yanauma sana

Kisa linaanzia hapa
[Qeuote] wanaume kwa sasa hawaeleweki[/quote]
Ukishakuwa na fikra hizi ni ngumu sana kujenga mahusiano yenye amani.
Halafu, si vizuri kuqnzisha mahusiano ili kumpata mtu wa kukusahaulisha matatizo yako, hueenda ukakutana na mwengine aliyevurugwa kama wewe badala ya kufatijiana mkavurugana pia.

Ushauri wangu. 23yrs ni umri mdogo sana, bado una nafsi ya kutuliza akili na kumpata mtu sahihi. Ukikosa subira na kumtafuta kwa nguvu ili tu kurdhisha mwili na nafsi yako jiandae kisaikolojia(sikutishi ila ndio ukweli)
 
AWE MTUMISHI WA UMA JAMANI ,NAMAANISHA HIVO
 
Hata mi nimeshangaa mkuu😂😂.

Wanasemaga tu ivo lakini mapenzi ni kitu nyingine aisee. Zaidi zaidi ndo ataanza kuhonga zaidi ili apendwe.
Kikubwa akutane na fundi tu yeye pamoja na kazi yake,hela zake,moyo wake na hisia zake wote watateseka..😂
 
umri wako - 23 umekuwa na mahusiano miaka 5!
maana yake ulianza kuchana Msamba ukiwa mdogo sana then unataka mwanaume aliye tulia !!
Sio aliye tulia, mwanaume mtumishi mkuu hata kama ni mlinzi lakini ni mtumishi
 
Yaan miaka kumi na sabaa ushaanza kumfunulia baada ya soko kuchina ndo unamtafuta mcha Mungu?kwa hyo dini yenu inaruhusu kuzini kabla ya ndoa?
 
Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
 
Pole mrembo wenzako wanatuchanganya tunakuwa kama watatu mi nikikataa kuoa ataoa mwenzangu so na wewe anza kutuchanganya au unakionea huruma
 
Back
Top Bottom