Mapenzi yanauma sana

Mapenzi yanauma sana

Habari zenu ,Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu , jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
kuna wadada wazalendo lakini wanagongwa gongwa gongwa gongwa tu hadi wanakata tamaa mwisho wa siku naye anakua fisadi tu
 
Ninamaana itakuwa na uhakika wa kazi na kipato cha kuendesha familia
Kwahiyo sisi tusio watumishi tunabet Maisha?

Usijifungie kwenye utumishi wa Umma tu Mkuu.. Maisha ndo haya haya, na unaweza kupata mtu mwenye true love ila asiwe mtumishi na Maisha yakaenda tu na zaidi ya yote Mwenyezi Mungu ndo mtoa rizki..
 
Unachokosea ni kuingia kwenye mahusiano haraka baada ya kuachwa,uahitaji kujipa mapumziko la sivyo itakugharimu, haina haja ya kupanic maana we bado ni mdogo
Pia unahitaji kukaa chini na kutafakari makosa uloyafanya na ubadilike,wakati unahangaika kumtengeneza mwanaume et mnatafta mali zako ungekuwa umenunua hata kiwanja usingekuwa unalia .
Kitu kingine acha kujipa majukumu ya mke,
 
Tulio wengi tunakosea sn kwa kuwatengeneza watu tunaowataka katika fikra zetu.Awe hivi,awe vile,awe na hiki na kile.
Tunasahau kuwa muda unaenda.

Me nimetendwa sn na wadada 2 amabao niliamua nioe.Wa kwanza nilimfuma live amevua chupi na ametoa dyudyu na wa pili nilianza maandalizi ya kwenda kumvisha pete kwao but yule dada akatoa dyudyu kwa mtu na mimba ju.

Hapa nilipo nina ganzi ya mapenzi,sihangaiki nayo hata kidogo.Hata nisipooa fresh tu.

So dada be patience, si lazima kuolewa
 
Pole ,Mungu hakukupangia hao labda hata mngeshindwana mbele
 
Hakuna mwanaume mwanaume mwenye dharau kama mwanaume maskini wewe unamwonea huruma yeye anakuwa nawe kitarget apozee machungu,akipata anatafuta anaemtaka.Bora unyanyaswe na tajiri lakini anazo tena Mara 100
 
Habari zenu ,Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu , jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
Njoo pm mama,utasahau yote
 
Hakuna mwanaume mwanaume mwenye dharau kama mwanaume maskini wewe unamwonea huruma yeye anakuwa nawe kitarget apozee machungu,akipata anatafuta anaemtaka.Bora unyanyaswe na tajiri lakini anazo tena Mara 100
Alafu unaanzaje kutengeneza maisha na mtu ambaye hajakuoa, hilo ni kosa kisheria, anapaswa ashitakiwe afungwe😂😂
 
Miaka 23 unakua desperate na ndoa? Aaagh wapi, achana na hizo mambo, sikiliza wimbo was Whitney Houston "Greatest Love of all is Learning to your self"
 
Acha uongo wewe, najibu pm za watu mbona

Kuna mawili,

1) aidha we ni dume unaejifanya mdada, so unaanzisha uzi ili uchore watu humu ndani

2) Kama we ni mdada, unachotafuta hapa ni attention toka kwa wanaume, unafurahia sana dm yako ikijaa sms toka kwa wanaume tofauti tofauti wenye njaa ya ngono ili bichwa lako livimbee

Natabiri unaweza kuja na uzi wa mrejesho kuwa kati ya wanaume waliokufata dm, hujaona aliekufaa kwasababu wanataka ngono kabla ya ndoa blah blah

Nina uhakika kuna uwezekano asilimia 98%, wanaokuja dm kwako wakiokuomba namba ili mkutane uso kwa uso, hadi wapate papuchi utawazungusha weeee mpaka wachoke

Binafsi acha niagize popcorn nichek movie, Huo utopolo wa kukufuata dm na kuanza Kubembeleza wee, kukutongoza, na kukuomba namba nawaachia wanaume wenye muda wa kuchezea A love
 
Ni kweli kwa sasa mafurushi ndio mengi ila wanaume pia wapo. Hivyo tuliza akili fanya mambo mengine ya msingi.
 
Back
Top Bottom