umri wako - 23 umekuwa na mahusiano miaka 5!
maana yake ulianza kuchana Msamba ukiwa mdogo sana then unataka mwanaume aliye tulia !!





alianza kuuchana msamba vilivyo muda sana,Kwa maana hiyo ukishampata mwenye sifa hzo ,uko tayari kabisa kwa moyo mmoja kuwa naye na hautamzingua kwa kumcheat na vitu vifananavyo na hvyo?Ninamaana itakuwa na uhakika wa kazi na kipato cha kuendesha familia
Sasa asipo jipa majukumu ya mke huoni km ndo inaweza wakimbiza wanaume coz atakua anaishi kwa taadhari ya hajiachii ...na wanaume tulivo makini linapokuja swala la kuoa ....tukiona tuu mwanamke hafanyi responsibilities zake bhac tunaweza badili gear anganiUnachokosea ni kuingia kwenye mahusiano haraka baada ya kuachwa,uahitaji kujipa mapumziko la sivyo itakugharimu, haina haja ya kupanic maana we bado ni mdogo
Pia unahitaji kukaa chini na kutafakari makosa uloyafanya na ubadilike,wakati unahangaika kumtengeneza mwanaume et mnatafta mali zako ungekuwa umenunua hata kiwanja usingekuwa unalia .
Kitu kingine acha kujipa majukumu ya mke,
Kweli mkuuSasa asipo jipa majukumu ya mke huoni km ndo inaweza wakimbiza wanaume coz atakua anaishi kwa taadhari ya hajiachii ...na wanaume tulivo makini linapokuja swala la kuoa ....tukiona tuu mwanamke hafanyi responsibilities zake bhac tunaweza badili gear angani
Kikubwa n Kumtanguliza Mungu na mwisho wa yote ,mapenzi ni km kubet hakuna aliyekwenye mahusiano ambaye anajipa uhakika 100% ...
Nimefurahi na kufarijika kukusoma mkuu, Kuna pahala walizusha umekufa etiPole mrembo wenzako wanatuchanganya tunakuwa kama watatu mi nikikataa kuoa ataoa mwenzangu so na wewe anza kutuchanganya au unakionea huruma
Sasa mkuu ,km watu wanatakiwa wasubiri wakishafunga ndoa ndo waanze maisha huon kwenye mahusiano watu watakua wanaishi kwa taadhari sana coz anakua hana uhakika ....na madhara ya kuishi mguu mmoja ndani ,mguu mmoja nje ...n makubwa kwakua kila mtu anakua kimkakati yan ukizingua tayar anapakujishika ..sasa hayo sio mahusiano ni ujanja ujanjaAlafu unaanzaje kutengeneza maisha na mtu ambaye hajakuoa, hilo ni kosa kisheria, anapaswa ashitakiwe afungwe![]()






KwakweliSasa mkuu ,km watu wanatakiwa wasubiri wakishafunga ndoa ndo waanze maisha huon kwenye mahusiano watu watakua wanaishi kwa taadhari sana coz anakua hana uhakika ....na madhara ya kuishi mguu mmoja ndani ,mguu mmoja nje ...n makubwa kwakua kila mtu anakua kimkakati yan ukizingua tayar anapakujishika ..sasa hayo sio mahusiano ni ujanja ujanja![]()
Me naona yuko sahihi kuwa hvo coz akichukulia pouwa et umri bado ..matokeo yake atachezewa sana so lazima awaze namna ya kupata mtu sahihi na kwa wakat ...Miaka 23 unakua desperate na ndoa? Aaagh wapi, achana na hizo mambo, sikiliza wimbo was Whitney Houston "Greatest Love of all is Learning to your self"
Sasa miaka 18 ni mdogo huyo?23-5=18 nyege mbaya sana
Kwahiyo sisi watumishi wa Mungu hatuna nfasi kabisaAWE MTUMISHI WA UMA JAMANI ,NAMAANISHA HIVO
Tobaa aisee mi ni mzima mkuu .Nimefurahi na kufarijika kukusoma mkuu, Kuna pahala walizusha umekufa eti