Mapenzi yanauma jamani


Na kweli wewe ni boya tu, unaumia na samaki mmoja aliekuponyoka wakati bahari ina samaki aina nyingi
 

Embu waambiwe wenzio wasikie jaman
Ongeza sauti hapo kwenye mpe hela mana wengine hawaelewa
 

Yan mesoma comments zako kwnye hii thread
Unaongea kwa hisia sana mpka bas
Inaonekana ulimpenda sana uyo dada
Pole sana mkuu.
 
Yan mesoma comments zako kwnye hii thread
Unaongea kwa hisia sana mpka bas
Inaonekana ulimpenda sana uyo dada
Pole sana mkuu.

Nakosa namna ya kuelezea mambo.....
Nadhan ukiwa na mahusiano na wanawake wengi inasaidia(japo hili hua Siwezi)
Kwasababu hata maendeleo hutayaona.
Wengine wanakuja na option ya fedha....nnawashangaa sana ,pesa na mapenzi havilandani
Ila pesa ni maisha na mapenzi yapo ndani ya maisha ,
Kwa namna yoyote ile lazima fedha ihusike
Ila mapenzi nikitu kingine kabisaaaaaa

[mention]Darlin [/mention] kama kuna mtu anakupenda ...na unampenda
Shikilia sana hiyo
Kuna raha sana kwenye upendo
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Subiri uone utakavyoendeshwa bwege wewe
 

Aahh it’s true ila amna kitu tunaweza kufanya kama upendo umeisha.
Jus move on, huwez jua umeepushiwa nini.
Pole lakin utapona tu na utasahau mkuu.

Hahahah kweli mkipata mnafanana upendo una raha sana mkuu.
 
Aahh it’s true ila amna kitu tunaweza kufanya kama upendo umeisha.
Jus move on, huwez jua umeepushiwa nini.
Pole lakin utapona tu na utasahau mkuu.

Hahahah kweli mkipata mnafanana upendo una raha sana mkuu.

Mambo ndivyo yalivyo
Anyway tujipumzishe na hi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…