Mapenzi yanauma jamani

Jf raha sana ninesoma comments nikaishia kucheka tu nyie ni wapuuzi mtu abaandika ya moyoni.

Of cause haya tunayapitia saba kuna wakati zamani kidogo nilikaza nikasema mungu nipe uvumilivu, sijakosea kokote naomba nisimtafute. Alikosea yeye nikajishusha nikaomba msamaha akakaa kimya na mimi nikameza pini😂

Siku ya kwanza ikapita, ya pili ikapita ya tatu ikapita nikafuta no nikasema potelea mbali siwezi jishusha kwa mara ya pili as ifu mm ndo nina shida.
Siku ya nne nikaona anapiga ahaaaaa nikapokea kama vile sitaki, ilacqsingepiga ingeisha hiyo.

Wapuuzi nyie mmenikumbusha mambo ya zamani yalishapita kitambo.😂😂
 
Lijendari
 
Haya mambo hayana fomyula hata kidogo kwa sababu Homo Sapiens ni kiumbe mtata mno. Mimi naamini kuchapiwa kuko palepale ndo maana na mimi mpenzi (siyo mke) wa mtu akijichanganya namkanyaga tu...

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Chutama
 
Me ndo maana nliona bora nijiunge chama la watendaji na sio ili chama la kulia lia......hapa nmetoka mchapia kidume mwenzang dem wake ambae ni ex wang.....namsaidia majukumu maana yupo mbali na anamtolea mahali.mapenzi konyo
"Muoshwa huoshwa"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…