Mapenzi yanauma jamani

Pole sana mleta uzi,
Mi nakushauri muombe wewe msamaha ili yaishe maana wewe ndio unayeteseka yanini kuzidi kujiumiza??
Hapo inaonekana we ndio umemzimia ila ye anakuchukulia kawaida sanaa
 
Pole sana mleta uzi,
Mi nakushauri muombe wewe msamaha ili yaishe maana wewe ndio unayeteseka yanini kuzidi kujiumiza??
Hapo inaonekana we ndio umemzimia ila ye anakuchukulia kawaida sanaa

Nani atulie kati yangu mm na wewe

Tulia dawa ikuingie mkuu
 
Dogo Pole sana. Ila siku ukihitimu chuo na ukaanza kujitegemea ukakumbana na kashikashi za ulimwengu katika kupambana kuondoa umasikini home ndipo utagundua kuwa maumivu ya mapenzi ni kitu kidogo sana.
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Daaah na hapo ndo ulipokosea, si bora ujikaze uumie kisha usahau kuliko kuomba msamaha kwa kosa alilofanya yeye? Hapo umetuliza moto tu, usije kuhisi umelitatua tatizo.

Narudia tena, ni afadhali huyu anaepitia maumivu atazoea kuliko wewe uliyeamua kuyakumbatia.
 
Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Usije ukathubutu mkuu, we umia unavyoumia , unajua baada ya hapo utakuwa sawa kuliko kujishushia heshima yako.
 
Hta mm nlikuaga zuzu kma hvi, sshv nina meng ya kunisumbua kichwa, mwanamke si mojawapo.
 
hiyo namba 4 ikoje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…