Maho gel
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 308
- 99
Hi guyz habari zenu jamani.
Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini nafsi yangu inakiri kumuhitaji.
Najaribu kumsahau lakini nafsi yangu inadai yule ndo ninaempenda nashindwa kuyafurahia mapenzi kutokana na yeye.
Nashindwa kuwapenda wanaume wengine because of him.
Please jamani nisaidieni i need to enjoy love like others nakuwa kama mfungwa vile inaumiza sana jamani napenda kumsahau kabisa kwani niliomba nafsi ikiri kumsahau lakini bado inashindwa.
Msaada wenu wa kimawazo.