Mapenzi yananitesa sana

Mapenzi yananitesa sana

Dah! pole sana, ngoja nikupe kisa changu.

nilikuwa naishi na Boyfriend wangu 2 year na mwanzoni tulikuwa tunapendana sana ila baada ya miezi 4 akaanza kubadirika,halali ndani,ananitukana,malaya kupingukia hanipi matumizi etc.ila nilikuwa nampenda sana na hata hizo tabia zake sikuwa naziona kama ni chafu.
ilifika muda nikachoshwa na tabia zake na toka nimeachana nae huu ni mwaka wa pili sasa sina boyfriend na sina haraka zakuwa na boyfriend maana najua Mungu ameniandalia Mume mwema wakuja kuyafuta haya machozi yangu.
ushauri wangu kwako.Tulia Binti, sali sana ,kataa hiyo roho ya kusema eti unampenda maana hata hujui kama yeye nae anakupenda,daah! so sad.jipende wewe kwanza,jithamini wewe kwanza ili ujue thamani yako ipo wapi maana nakuona hata wewe mwenyewe umeshindwa kujithamini.
Tabia ya mtu ni ngumu sana kuibarisha.na kama kwenye uchumba tu anatabia hizo,ata kwenye ndoa pia atakuwa hivyo hivyo.
Asante sana mdada chukua like yangu
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Itakuwa alikuwa anakupiga show ya maana , anyway uwe unampa Mara moja moja huku ukiendelea kumsahau.
 
Pole sana yanatokea sana ila nanyi munapopendwa munashindwa kujielewa...mashauz mengi sana
 
Pole sana yanatokea sana ila nanyi munapopendwa munashindwa kujielewa...mashauz mengi sana

Hata nyie huwa hamjielewi kabisa. Mnapopendwa mnaleta kiburi kuwa wanawake tuko wengi. Endeleeni na uhuni mtaona mwisho wake. Poleni. Na sisi wanawake tunasema kuteseka sasa basi. "HATUNA SHIDA"
 
Jianaume unalipenda kuliko kitu kingine hapa duniani lakini bado litakuwa na michepuko kibao. Unarisk unasafiri kilometa kibao unalifuata huko liliko lakini bado halioni umuhimu wako. Choka kabisa mimi. Alafu wewe unalia lilia hapa. Kata mti panda mti. Utampata mwanaume mwingine had utasahau dunia wewe.
 
Pole sana mkuu, kuna jamaa amekuanzishia uzi kwamba unajitongizesha kwake....
Ebu ukuje ujibu hizi tuhuma tafadhali
Swahibu sikujua kama u mchokozi kiasi hiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Swahibu sikujua kama u mchokozi kiasi hiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna lijamaa moja limenichefua sana siku yangu haki, kwani mdada kujitongozesha ni jambo la ajabu....[emoji45] [emoji45]
Yaani anaandika upuuzi utadhani hana mama, dada, shangazi nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom