Mapenzi yananitesa sana

Mapenzi yananitesa sana

Demu wangu hanipigii simu mpaka anisikie kwenye interviw.
Pole sana jitahidi kuyasahau mambo yote mloyatenda ingawa nakwambia haya sio kazi rahisi hasa kwa first realy love. Hata mimi nipo katika kipindi kama chako but me huwa najitahidi kusikiliza nyimbo ngumu zenye tungo tata ili kukipa kichwa kufikiria vitu tofauti na upendo right? Ok ok ok i think umenielewa
 
Hi guyz habari zenu jamani.

Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini nafsi yangu inakiri kumuhitaji.

Najaribu kumsahau lakini nafsi yangu inadai yule ndo ninaempenda nashindwa kuyafurahia mapenzi kutokana na yeye.
Nashindwa kuwapenda wanaume wengine because of him.

Please jamani nisaidieni i need to enjoy love like others nakuwa kama mfungwa vile inaumiza sana jamani napenda kumsahau kabisa kwani niliomba nafsi ikiri kumsahau lakini bado inashindwa.

Msaada wenu wa kimawazo.


If you can`t beat them, join them.
 
Miss,huyo Fala Ni Nani?humu ndani kuna wa,senge sana just imagine mtu anampm mtu kuhusu wewe miss tena hamjuani hata anampm mabaya jamani
y

mtoto kazama pm na picha katuma.just imagine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom