Nashindwa kufanya mapenzi, Nikijaribu kuanza uume unasinyaa

omereo

Member
Dec 29, 2018
54
79
Wanajamii mwenzenu nina tatizo nahitaji msaada either wa kiasili au kitabibu.

Nikitaka kufanya tu mapenzi baada ya uume kusimama nashindwa kuendelea baada au kabla sijaingiza uume sehemu husika.

Nisaidieni jamani nimerogwa au ni nini hii hali.

Hospitalini nimeenda nikapimwa homoni ingawa ilikuwa 3.2 nikatumia proviron bado hali vilevile.

Sina prostate nilifanya utrasound. Nimetumia mitishamba kibao na kwa waganga nimeenda ni nini hichi kuna wakati naumia kwa hii hali najiona sina thamani.

Nisaidieni pls
===

BAADHI YA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU

Hauna tatizo mkuu relax tu. Na hakika una psychological trauma, Kuna kitu chenye experience mbaya kilikutokea huko nyuma kinachohusiana Mambo ya mapenzi.

Hii hutokea Mara nyingi Kama umempania mwanamke siku ya kwanza na ashki zikawa nyingi kupita kiasi na Mara tu unapovuliwa chupi au kuona upaja wa mwanamke Basi ashki hukuzidi na wewe kufika climax na kumwaga shahawa.

Au inawezakana ulikuwa unatamani Sana wanawake na Kisha ukawa unamalizana nao chooni ukiwa alone yaani "puchu".

Hali hii ya wewe kumpania mwanamke sana kwa muda mrefu kutokana na Labda na kumuhusudu sana kutokana na uzuri wake, au wewe kuto kigegeda kwa muda mrefu, au pia wewe kupiga Sana punyeto, hupelekea unapofika ktk tendo halisi na mwanamke kukuvulia nguo basi kutokana na ile hamu basi unamwaga either kabla hata ya kuingiza au baada ya tackle moja.

Nini Cha kufanya?
Kwanza kbs jiambie nafsini kwako kuwa hauna tatizo lolote, yaani hili suala lisikushughulishe Sana (ingawa ni ngumu kiasi fln), sababu Mara nyingi unapopata mwanamke mkiingia tu ndani au hata kabla ya kuingia huwa we mwenyewe unaanza kuji doubt " Daah leo nitaweza kweli, au ndy itajirudia"? hapo tayari umeharibu, ile Hali ya wewe kuwaza hvy tayari hormone zinapokea taarifa hasi (-) na wewe unajikuta unashindwa kigegeda.

Unachotakiwa kufanya, ni kurelax kbs, wala usiwe na haraka kbs ya wewe kigegeda, na ht ikitokea umesimamisha usitake kugegeda muda huo huo wewe endelea kurelax Sana , hapa inabidi upate mwanamke muelewa. Huyo mwanamke akuchezee sana uume mpk usimame sawa sawa, then acha uendelee kuwa firm hvy kwa zaidi ya dakika kadhaa bila ya kufanya attempt yyt. Ukisimama kwa dakika kadhaa ambazo zitazidi zile zako za awali basi akuache usinyae bila kukojoa Kisha muendelee na story.

Baada ya muda aendelee kuchezea tena dushe kwa ufundi wote huku na yeye akiwa hana nguo nawe ukimchezea. mpaka kufika hapo Naamini tayari hormones zako na adrenaline zitakuwa zimerudi normal. Anza kwanza kupenyeza dushe kwa hata kwenye mapaja yake au katikati bya maziwa Kama anayo makubwa huyo mwanamke taratibu piga tackle kadhaa usikojoe au ukijiskia wazungu wanakuja chomoa, make sure una mafuta ya kusaidia kurainisha. Fanya hvy kwa Mara kadhaa mpk pale utakapoona umerelax na huna hofu kbs , huku ukijiambia kimoyomoyo kuwa "I can do this ".

Baadae kwa msaada wa partner wako wkt dushe limesimama aingize kwa K, wewe endelea kurelax hata Kama itafail, na kusinyaa au kumwaga mapema, we endelea kurelax....endelea kufanya hii practice Mara kadhaa kwanza na mwanamke huyohuyo, Kisha utakuja nishukuru siku moja.

NB: Muhimu kujua Hilo tatizo ni la kawaida na linawatokea wanaume wengi, Wala haupo peke yako, wapo wengi humu utakuwa umewasaidia pia kwa kuweka Hilo wazi. Hilo tatizo huondoa kujiamini Sana kwa mwanaume mbele ya KE.

Sent using Jamii Forums mobile app
---
Mwanaume yeyote kadiri umri unavyokua na uwezo wa uume unapungua kulingana na mtu na mtu
Wengine wakifikisha 30 shida inaanza nk
Wakati mwingine punyeto au tatizo la homoni, stree na lishe linachangia pia

Tatizo huwa kubwa zaidi linapoingia kisaikolojia

Pindi tu unapobaini uwezo unapungua unaanza kuwa na hofu kubwa
Hofu hii hupelekea kupoteza kabisa uwezo wa kufanya tende zima la ndoa

Wanaume wengi hali hii inapoanza akiingia na mwanamke ndani anakua na anasikilizia sana kwa hofu sijui itasimama. Hii hupelekea mwili kiwa na hofu na kushindwa kusimamisha au ukiingiza unakua ni kama huamini vile kisha mwili unakataa na uume unalala.

Kupungua nguvu ni jambo lakawaida kwa mwanaume
Inatakiwa kutoa hofu, relax usiwe na papara tumia muda kumchezea na acha hofu iondoke

Watu wengi wanaopitia changamoto hii utakuta akiwa peke yake akiwaza ngono inasimama kweli kweli au akiangalia x inasimama au akipiga punyeto inasimama lakini akiingia demu tu inalala......hofu ndio adui no 1

Jaribu mbinu hii
- Usitafute demu wa kupiga fasta fasta
- Tafuta demu utakaye lala naye hadi asubuhi
- Kisha relax na tumia muda kwa stori ukimchezea usiwe na papara kabisa
- Pindi uume ukisimama usikimbilie kiuchomeka maana utalala tena
- Uache usimama hadi uone hapa unataka haswa,
- Pindi utakapo chomeka angalau hakikisha unampiga kifo cha mende na awe amevua nguo zote wakati huo unafanya kama unapiga push up ili uone tukio zima
- Taa lazima iwe inawaka ili uweze kuona jinsi zakari inavyotwanga hii itakuongezea confidence sana.

Jaribu sana kufanya delaying tactics ili usikojoe haraka, Ukiona kama unataka kukojoa unachomoa au unaacha kupamp kwanza. Muda mrefu utakotumia juu ya papuchi utakuongezea conference pia

Baada ya tendo usilazimishe kupiga round 2 haraka haraka.
---
Mwana anapoteza matumaini ya kiuanaume! Haoni thamani ya uume wake tena!

1. Heshimu utu wako kwanza, wewe ni wa thamani kubwa sana. Ukosefu wa Nguvu zako za kigegedeo zisikusheshe hadhi.

2. Achana kwanza na habari za kugegeda kwa muda huu kwanza.
Hata kama umeoa, mweleze mkeo ukweli na uwazi. Kama hujaoa itakuwa vizuri zaidi.

3. Amini matatizo yako yametokana na athari za punyeto la kipindi cha nyuma.
Sasa kama hauna hata kazi ndiyo kama tatizo linazidi vile. Maana stress nazo zikiongezeka na tatizo linazidi.
Ila amini litaisha.

4. Acha punyeto kabisa. Acha na sahau kabisa.

5. Anza mazoezi ya mwili hata mara 5 kwa wiki. Mwili uchoke kweli kwa mazoezi. Jasho liwe linakutoka kweli!

6. Uwe selective kwenye vyakula pia. Achana na vitu vya mafuta mengi. Anza kutumia vyakula vya asili, siyo dhambi.

7. Maji ya kutosha.

8. Anza kumcha Mungu, yawezekana amezipunguza makusudi ili kukuepusha na maambukizi mengi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
---
Hilo tatizo liliwahi kunitokea, ila mi nilikuwa naishi na mwanamke kabisa.

1.Katika situation yangu ni jini mahaba ndio huwa anaingilia miili. Huyu jini hujificha chumbani unapolala then anakuwa anamuingilia mkeo au wewe binafsi. Unakuta huwezi fanya mapenzi kabisa na demu wako ila demu akishatoka zake uume unasimama mpaka unauma. Au ukienda kwa random women unapata relief kabisa unatomba freshi. Ila ukimrudia yeye tu inakuwa haifai.

Nilikimbilia hospitali kucheki sukari na mambo mengine. Nikakuta niko normal tu. Dokta akashauri ninywe maji mengi maana dehydration ndio inaeza sababisha hilo tatizo mara nyingine. Pia nipige tizi na kupunguza kula fries. Hii ni kitaalamu ila spiritually inabidi uende ukaombewe na ujiombee huyo fala aondoke mwilini na mjengoni unamoishi.

Ukihama hapo unapoishi pia utaona tofauti. Mi nilikuja nikahama pia hio shida ikawa imeisha. Ila juzi kati naona hali imeanza kujirudia nikamuita mtumishi akaniambia ni kweli ndani kuna mdudu humu na atatusumbua haswa tujibidiishe kusali.

Na kweli nikisali na kumkemea mwili wote unasisimka yani kama napigwa shoti. Ni signal kuwa ni yeye kashatinga tena mjengoni.
---
Hauna tatizo mkuu relax tu. Na hakika una psychological trauma, Kuna kitu chenye experience mbaya kilikutokea huko nyuma kinachohusiana Mambo ya mapenzi.

Hii hutokea Mara nyingi Kama umempania mwanamke siku ya kwanza na ashki zikawa nyingi kupita kiasi na Mara tu unapovuliwa chupi au kuona upaja wa mwanamke Basi ashki hukuzidi na wewe kufika climax na kumwaga shahawa.

Au inawezakana ulikuwa unatamani Sana wanawake na Kisha ukawa unamalizana nao chooni ukiwa alone yaani "puchu".

Hali hii ya wewe kumpania mwanamke sana kwa muda mrefu kutokana na Labda na kumuhusudu sana kutokana na uzuri wake, au wewe kuto kigegeda kwa muda mrefu, au pia wewe kupiga Sana punyeto, hupelekea unapofika ktk tendo halisi na mwanamke kukuvulia nguo basi kutokana na ile hamu basi unamwaga either kabla hata ya kuingiza au baada ya tackle moja.

Nini Cha kufanya?
Kwanza kbs jiambie nafsini kwako kuwa hauna tatizo lolote, yaani hili suala lisikushughulishe Sana (ingawa ni ngumu kiasi fln), sababu Mara nyingi unapopata mwanamke mkiingia tu ndani au hata kabla ya kuingia huwa we mwenyewe unaanza kuji doubt " Daah leo nitaweza kweli, au ndy itajirudia"? hapo tayari umeharibu, ile Hali ya wewe kuwaza hvy tayari hormone zinapokea taarifa hasi (-) na wewe unajikuta unashindwa kigegeda.

Unachotakiwa kufanya, ni kurelax kbs, wala usiwe na haraka kbs ya wewe kigegeda, na ht ikitokea umesimamisha usitake kugegeda muda huo huo wewe endelea kurelax Sana , hapa inabidi upate mwanamke muelewa. Huyo mwanamke akuchezee sana uume mpk usimame sawa sawa, then acha uendelee kuwa firm hvy kwa zaidi ya dakika kadhaa bila ya kufanya attempt yyt. Ukisimama kwa dakika kadhaa ambazo zitazidi zile zako za awali basi akuache usinyae bila kukojoa Kisha muendelee na story.

Baada ya muda aendelee kuchezea tena dushe kwa ufundi wote huku na yeye akiwa hana nguo nawe ukimchezea. mpaka kufika hapo Naamini tayari hormones zako na adrenaline zitakuwa zimerudi normal. Anza kwanza kupenyeza dushe kwa hata kwenye mapaja yake au katikati bya maziwa Kama anayo makubwa huyo mwanamke taratibu piga tackle kadhaa usikojoe au ukijiskia wazungu wanakuja chomoa, make sure una mafuta ya kusaidia kurainisha. Fanya hvy kwa Mara kadhaa mpk pale utakapoona umerelax na huna hofu kbs , huku ukijiambia kimoyomoyo kuwa "I can do this ".

Baadae kwa msaada wa partner wako wkt dushe limesimama aingize kwa K, wewe endelea kurelax hata Kama itafail, na kusinyaa au kumwaga mapema, we endelea kurelax....endelea kufanya hii practice Mara kadhaa kwanza na mwanamke huyohuyo, Kisha utakuja nishukuru siku moja.

NB: Muhimu kujua Hilo tatizo ni la kawaida na linawatokea wanaume wengi, Wala haupo peke yako, wapo wengi humu utakuwa umewasaidia pia kwa kuweka Hilo wazi. Hilo tatizo huondoa kujiamini Sana kwa mwanaume mbele ya KE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kuandika post haraka
Elezea unamiaka mingapi?
Utaratibu wako wa lishe ukoje?
Awali ilikuwaje?
Mazingira yako ya kukutania yakoje?
Nn kinakusumbua akilini kwa sasa?
Kuna mengi sana ulipaswa kuelezea hata hicho kipimo ni hormone ipi?

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Back
Top Bottom