Mapenzi yananitesa jamani

shalolizo

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
334
250
Habari za asubuhi wana jf wenzangu,

Mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.

Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.

Kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,nimemuomba radhi sana lakini ameendelea kushika msimamo wake kwamba hawezi kurudiana na mm na tuwe marafiki tu.

Muda mwingine nafikiria bora nimwagie hata tindikali tu ili na yeye asikie maumivu kama ninayopata mm,,kwa kweli nimehathirika kisaikolojia mpaka nashindwa kula wala kulala.

Naombeni ushauri wenu jamani.
 

Kichangan

Member
Sep 3, 2013
36
0
Achananae wanawake kibao,tafuta mkeo uoe mtasikilizana zaid kuliko huyo,na zaid huna mtt pia gheri pengine umfate mwishowe alupe ukimwi wala usimdhuru wala lufikiria hayana maana utakuj kujuta nakujikuta jela pas na sbb
 

Msafwa wa swaya

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
427
250
habari za asubuhi wana jf wenzangu,,mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,,kama umeshndwa kuish bila yeye mbona yeye anaish bila ww ndo maana hatak tena kuwa na ww PIGA CHNI USIMTAFUTE TENA KWA TAKRIBAN WIK MBILI UTAMWONA ANAVOKUTAFUTA ASIPOKUTAFUTA UJUE KASHAPATA MJANJA MWNGNE HAINA HAJA MKUU KUWA NAE ALITAKA SABABU YA KUACHANA NA WW KAIPATA,WADADA WENG KAMA NJUGU YY SIYO MALAIKA!
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
pole sana!
dunia unayoishi saa hii ni fragile, handle it with care ili usiongeze majuto.

ukubali ukweli, na ukweli ni kuwa mwenzio hataki muwe wapenzi.

jitume kufikiri mambo mazuri, manake hayo ndio dua yako kwa mola wako. ukifikiri mambo mazuri ni rahisi kujipanga upya, usikute huko mbele ukawa vizuri naye akahitaji mrudiane akaikosa nafasi hiyo na maumivu yanayokupata kibao kikamgeukia.

usifikirie kumdhuru, narudia tena usifikirie kumdhuru wala kujidhuru kwani fikra hiyo yatoka kwa IBILISI.
 

alma gemela

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
842
195
In life there is no fairy tales, no happily ever afters, no prince charming. In life it's reality where you are gonna be hurt, you are gonna cry. But the best thing about reality is that there is a tomorrow.
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,458
2,000
Mimi nakushauri tu ujimalize tena jiue kabisa, ukitaka kufikia uamuzi huo naomba unitafute maana shughuli mojawapo nizifanyazo ni kuuza sanda, majeneza na kuchimba makaburi.

Kuna watu hamjui thamani ya uhai wenu, maisha na uhai wenu mmeuweka rehani kwenye vitu vidogo kama mapenzi au mmewakabidhi watu mioyo yenu.
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Achananae wanawake kibao,tafuta mkeo uoe mtasikilizana zaid kuliko huyo,na zaid huna mtt pia gheri pengine umfate mwishowe alupe ukimwi wala usimdhuru wala lufikiria hayana maana utakuj kujuta nakujikuta jela pas na sbb

unajua maana ya one in a million?
 

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Hivi wewe utampendaje mtu asiekupenda??? Wanawako wako kibao tena wanatafuta wanaume na wazuri kuliko huyo x wako na wana elimu,ustaarabu na pesa kuliko huyo wako.Tafuta mzuri kuliko yeye na utamsahau ndani ya dk.1 alafu atakutaka yeye sasa.Mateso yako hayana nguvu kwangu naona uzembe wako unachangia.
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
mkuu shalolizo,

una umri gani sasa?

kwanini unafanya maamuzi ya haraka namna hiyo? yani from nowhere unaamua tu kuvunja uhusiano then unataka uurudishe?

au ulikuwa under the influence of alcohol?

by the way, kaa na mpenzi wako, muulize vizuri kwanini hakutaki, kisha fanyia kazi sababu atakayokupa!
 
Last edited by a moderator:

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Huyo siyo wa kwanza wako wala siyo wa mwisho wako. Jikabidhi kwa Mungu, fanya maombi fanya kazi kwa bidii. Wanawake wapo wengi utakuja kumpata wa kweli utamsahau hata huyo, cha msingi ni kumuombea maisha marefu.
 

shalolizo

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
334
250
now nina 29,,nilifanya uamuzi huo sababu niliona mambo yanaenda sivyo maana niliona kabadilika tofauti na nilivyomzoea,,nimekaa nae sana lakini hana sababu maalum
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
now nina 29,,nilifanya uamuzi huo sababu niliona mambo yanaenda sivyo maana niliona kabadilika tofauti na nilivyomzoea,,nimekaa nae sana lakini hana sababu maalum

mkuu umri naona umeenda sana aisee. acha mapenzi ya kuchi kuchi sasa!

mambo ya baby baby wakati slope yako ya umri inaanza kwenda chini, acha danganya toto!

oa kabisaaaa utulie!
 

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,601
2,000
shalolizo,

Katika mahusiano, kuna vitu unapaswa kuvitambua ..lugha(hasa ya kuamrisha haifai)...mfano umesema "Ulishamwambia kuwa mwaka 2014, ndio mtafunga ndoa" katika kauli hii shida niiyonayo, ni kuwa BILA KUJALI UPANDE MWINGINE WA UHUSIANO mwaka 2014 lazima uamuzi wako utekelezwe!

Pili, Kumtishia amani mpenzi wako kwa sababu unampenda hakuna mantiki, hebu fikiria yeye akutishie kuwa 'akikuona na mwanamke kwa mfano, kwenye chakula anachokuwa akikupikia ataweka sumu akumalize'..utatamani kula chakula hicho hata kama ni mpishi mzuri?

Tatu, Uamuzi uliopo/utakaouchukua unategemea na uhusiano wenu ulikuwa umefika mbaki kiasi gani..mfano marafiki kuutambua, familia n.k iwapo familia hasa yake ilikuwa inautambua unaweza kuongea na ndugu wake wa karibu (endapo naye bado hajawaambia kuhusu tishio la uhai wake), ni ngumu kwa mara moja hasa kama nia ni ile ile ndoa mwaka 2014!

Kila la heri!
 
Last edited by a moderator:

Commanche

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
1,168
0
Mtamamchungu just ignore her. Yaani all these women out here unaumiza na mmoja? Kama umebembeleza na bado hakieleweki basi piga chini endelea na maisha.
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
haya ndio maajabu ya maamuzi!

THINK BIG.. FIRST!

fanya collabo kwanza na wasanii wakubwa kabla hujatoa maamuzi mazito!
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Mtamamchungu just ignore her. Yaani all these women out here unaumiza na mmoja? Kama umebembeleza na bado hakieleweki basi piga chini endelea na maisha.

maneno kama haya hutolewa na watu ambao ni playboys na playmen!

hivi kuna playgirls na playwomen? au hawa mnawaitaje wandugu?
 

deepsea

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
3,290
2,000
habari za asubuhi wana jf wenzangu,,mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,,nimemuomba radhi sana lakini ameendelea kushika msimamo wake kwamba hawezi kurudiana na mm na tuwe marafiki tu,,
muda mwingine nafikiria bora nimwagie hata tindikali tu ili na yeye asikie maumivu kama ninayopata mm,,kwa kweli nimehathirika kisaikolojia mpaka nashindwa kula wala kulala,,naombeni ushauri wenu jamani

acha ujinga wewe!mmezaliwa naye?tupa kule ana nini cha ajabu?dunia hii hasa tanzania wanawake kwa wanaume wapo wengi tu wewe tu kazi ni kwako.Mungu aepushie mbali angekufa huyo demu ungeshindwa kuishi?ungeishi sasa nini kulazimishana mapenzi mpaka unafanya jinai!shauli yako kuna jela we leta tu utoto wako tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom