I understand thnxJtaid sana kukmbka mabaya alokufnyia i itakusaidia kumsahau,pia irusu akil yko kumsahau ucjiwekee kusema huwez msahau kumsahau cha mcng n ku kurusu akil yko imsau mana two year n paref alaf kw boys lazma atakua keshakua na wengne,kama kbla tu akat upo nae alikua nao je baada ya mda wote uo unatgmea nin?kila kitu knawezkna amna knachoshndkana n wew tu kuamua mana hta ukirudiana nae u wl suffer since hajawah kutafta kw mda wote uo dnt force lov itakupa shda mbele,mpende akupendae ukitoa mawzo yke itakua rahis ww kumsau lakn ukiwa una mfkria itakupa shda na kukpotzea mda mana unamuwza mtu ambye hna time nawe,ukiamua kla ktu knawezkna xo make a wise decision mpotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Asant nmekuelew xn princpl gelJtaid sana kukmbka mabaya alokufnyia i itakusaidia kumsahau,pia irusu akil yko kumsahau ucjiwekee kusema huwez msahau kumsahau cha mcng n ku kurusu akil yko imsau mana two year n paref alaf kw boys lazma atakua keshakua na wengne,kama kbla tu akat upo nae alikua nao je baada ya mda wote uo unatgmea nin?kila kitu knawezkna amna knachoshndkana n wew tu kuamua mana hta ukirudiana nae u wl suffer since hajawah kutafta kw mda wote uo dnt force lov itakupa shda mbele,mpende akupendae ukitoa mawzo yke itakua rahis ww kumsau lakn ukiwa una mfkria itakupa shda na kukpotzea mda mana unamuwza mtu ambye hna time nawe,ukiamua kla ktu knawezkna xo make a wise decision mpotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
asant San sistermdada mie sijui imani yako lakini omba Mungu akupe amani, furaha, faraja, utulivu, upendo na uvumilivu ndani ya moyo wako......na pia mwombe akutolee huzuni ,majonzi, akufute machozi, manung'uniko na masikitiko ndani ya moyo wako......
Siyo kwamba cjafanya hivo lahasha but tatiz no soul imagine ni two years nou
Hi guyz habari zenu jamani.
Mwenzenu kuna mwanaum nishawahi kuwa nae kimahusiano kutokana na tabia za uhuni nliamua kumuacha kwa sasa miaka miwili,tatizo ni kwamba nimejaribu kumsahau lakini nafsi yangu inakiri kumuhitaji.
Najaribu kumsahau lakini nafsi yangu inadai yule ndo ninaempenda nashindwa kuyafurahia mapenzi kutokana na yeye.
Nashindwa kuwapenda wanaume wengine because of him.
Please jamani nisaidieni i need to enjoy love like others nakuwa kama mfungwa vile inaumiza sana jamani napenda kumsahau kabisa kwani niliomba nafsi ikiri kumsahau lakini bado inashindwa.
Msaada wenu wa kimawazo.
Pole sana.
As a senior sex & relationship consultant nipm niweze kukupa a professional advice.
dah umenigusa.....nilipigwa kibuti ijumaa kuu aisee.....wacha nilie ...nikasema leo nateseka na Yesu....nikamwambia Yesu naomba ubebe mateso yangu kwenye msalaba wako....sitaki kuteseka tena kisa mapenzi......yani mpaka leo siteseki kisa mapenzi....naimani Yesu alibeba kibuti changu pale msalabani......